Lipumba aitaka CHADEMA kusuluhisha mgogoro na Zitto Kabwe

Mbona yeye hakutafuta suluhu na Prof Abdallah Safari na Hamad Rashid mpaka kuzaliwa kwa ADC?
 
Prof
Hawa watu wewe huwajui undani wao,

Kwa heshma uliyonayo si Tz wala Africa tu bali Dunia nzina inakutambua, nakushauri kakaangu achana nao,

Huoni hata wasio na mtazamo wameshaanza kukubeza eti U-prof umeuzika chini,

Yeye mwenyewe hata kuku wa mtaani kwake hawamtambui achilia mbali watu wa mtaani kwake.
 
Lipumba ni professa ila ana pumba nyingi sana kuliko maelezo,si akaushe tu kuliko kujiweka uchi?,mbona anaidhalilisha tasnia da uprofesseri

Msisahau kuwa Lipumba mwenyewe alikili kuwa alimpigia kampeni ya urais Kikwete wakati na yeye mwenyewe akiwa mgombea urais!!!
 
Lipumba chama chake kimemshinda kaanza kudandia vya wenzake anachemka tu.
 
Mbona walipotimuana na Hamadi Rashid hawakusululishana wala chadema haikuingilia mambo yao!

Hamad Rashid alikata kamba zaidi ya Zitto Kabwe., kumbuka Hamad Rashid alishaanzisha chama chake rasmi na kusajiliwa akiwa bado ni mwanachama wa CUF., isingewezekana kusuluhishwa na kurudi tena CUF.,
 
Lipumba alisuluhisha vipi mgogoro wa CUF na Rashid Hamid?

Jamani issue ya Hamad Rashid ilikuwa kubwa sana., Hamad Rashid alishaanzisha chama chake NCC na kusajiliwa sasa ingekuwaje mambo hayo na yeye bado alikuwa ni mwanachama wa CUF?
 
Mbona walipotimuana na Hamadi Rashid hawakusululishana wala chadema haikuingilia mambo yao!

CHADEMA hawana busara, Lipumba ni msomi anayeona mbele, na anajua nini kitafuata iwapo CHADEMA wataendelea kumkorofisha Zitto. CHADEMA walikuwa wanafurahia kipindi CUF iko kwenye migogoro, lkn CUF haifurahii kuona CHADEMA ikigawanyika vipande vipande.
 
Illiterate Prof.

Tangu lini hatua za kinidhamu zikageuka kuwa migogoro?

Kwa hiyo yeye alishindwa kumaliza mgogoro na Hamad Rashid?

Hawa ndio maprofesa wanafiki wanaochimbia weledi wao ardhini

Hawezi kufanya Rational Analysis
Ben,

Wewe kila unayetofautiana naye mitazamo ni mnafiki.
 
Shida ya Cdm ni wanachama kua na ushabiki wakijinga. Wao ndio wanaochochea mgogoro wa viongozi wao.
 
Kila anayetofautiana na CHADEMA kimtazamo ni- MNAFIKI, MHAINI, MZANDIKI, AMETUMWA, AMEHONGWA, HAFAI, MUONGO, HAPENDI MABADILIKO, HANA UCHUNGU NA CHAMA, PANDIKIZI, KIBARAKA WA CCM etc
 
Prof. Lipumba, Chadema wanacheza mchezo wa kuigiza wala wasikusumbuwe unless na wewe upo kwenye hii tamthilia.

Chadema waongo tu hawana lolote, wote wamoja.

Wanafifirisha sakata la Mwenyekiti wao kutembea na mbunge wake wa viti maalum kwa watu maalum.

cc Lilian Mbowe.

Kumbe we hunaga uwezo wa kufikiri.. kale ka'thread ka jana kwamba cdm hakuna mgogoro bali wanaigiza kuipumbaza ccm, na we umekaamini..
hahahah! huwa tunatunga vitu kuwapata mambumbumbu kama wewe..
THNK BIG!
 
Illiterate Prof.

Tangu lini hatua za kinidhamu zikageuka kuwa migogoro?

Kwa hiyo yeye alishindwa kumaliza mgogoro na Hamad Rashid?

Hawa ndio maprofesa wanafiki wanaochimbia weledi wao ardhini

Hawezi kufanya Rational Analysis

I second u!
 
Ben,

Wewe kila unayetofautiana naye mitazamo ni mnafiki.

fikiria una mwanamke,amekula malaya,na kakuletea magonjwa ya zinaa kabla ya VVU.unajua uchafu wake mwingi.unamrudisha kwao,na bado kaendeleza umalaya.then jirani bila kujali ukubwa wa tatizo anashauri mazungumzo
 
CHADEMA hawana busara, Lipumba ni msomi anayeona mbele, na anajua nini kitafuata iwapo CHADEMA wataendelea kumkorofisha Zitto. CHADEMA walikuwa wanafurahia kipindi CUF iko kwenye migogoro, lkn CUF haifurahii kuona CHADEMA ikigawanyika vipande vipande.

Hoples point..
mbona hakuwahi kuona mbele kwamba CUF kujiunga na waliberali wanaosapoti ushoga ni sawa na kuchochea ushoga pindi wakikamata nchi.
 
Mbona walipotimuana na Hamadi Rashid hawakusululishana wala chadema haikuingilia mambo yao!

Mkuu nimemsikiliza Lipumba vuzuri sana ameongea vizuri sana tofauti na mtoa mada hapa
Alitoa ushsuri kwamba anatambua umuhimu wa chadema katika mchakato wa kstiba na hatalisifu jitihada walizoizionyesha cdm kwa kutambua hilo aliitaka chadema kutatua mgogoro huo mapema iki waweze kuconcetrate kwenye issue ya katiba.

Hicho ndicho alichoongea .
 
Back
Top Bottom