Lipumba aitaka CHADEMA kusuluhisha mgogoro na Zitto Kabwe

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari
 
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari
Lipumba nikukumbushe usemi wa waswahili ndugu wakigombana ........mgogoro wenu na mbunge wa wawi mliachiwa mkatatua wenyewe na huu waachie wenyewe watautatua wenyewe kwani chadema ina viongozi imara na wenye uwezo mkubwa bila hivyo hiki chama kisingeweza kufika hapa kilipofika bila uongozi shupavu na imara.
 
Lipumba ni professa ila ana pumba nyingi sana kuliko maelezo,si akaushe tu kuliko kujiweka uchi?,mbona anaidhalilisha tasnia da uprofesseri
 
Huyu ndumila kuwili tu. Afu nadhani katarget viti malaam, wote mnafahamu kuna kufumuliwa upya kwa baraza la maziri kuna kuja. Na ktk nyanja hii JK ni matumla!!
 
Prof. Lipumba, Chadema wanacheza mchezo wa kuigiza wala wasikusumbuwe unless na wewe upo kwenye hii tamthilia.

Chadema waongo tu hawana lolote, wote wamoja.

Wanafifirisha sakata la Mwenyekiti wao kutembea na mbunge wake wa viti maalum kwa watu maalum.

cc Lilian Mbowe.
 
kuwa mtetezi wa chakavu lazima uwe na akili kama za mwehu
 
Nitaanza kuwaona upinzani wako kitu kimoja na nitaendelea kuwasupport pale watakapoungana unless otherwise wote maselfishness tu hamna cha c.u.f,chadema wala n.c.c.r
 
Lipumba ana pumba.. Amekuwa mfalme kwenye cuf yake hilo halioni... Hana jpya tena akigombea u mp hawez kupata labda pemba
 
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari

Illiterate Prof.

Tangu lini hatua za kinidhamu zikageuka kuwa migogoro?

Kwa hiyo yeye alishindwa kumaliza mgogoro na Hamad Rashid?

Hawa ndio maprofesa wanafiki wanaochimbia weledi wao ardhini

Hawezi kufanya Rational Analysis
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom