Lipumba aitaka CHADEMA kusuluhisha mgogoro na Zitto Kabwe

Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari

Kwa Dharau alioionyesha zito katika Zara yake ya kigoma hatakiwi kusamehewa hats kidogo. Hakuan demokrasia isiyokuwa na Nidhamu
Zito anasema kuwA kuna Watu walienguliwa kugombea cam wakahamia cdm na sasa wanajiona CDMA in Mali Yao,Je Anataka kutuaminisha kuna CDMA ya waanzilshi na wasiowaanzilishi? Anataka kutuaminisha Kwamba Yeye ni bora Kuliko mwananachma mwingine yeyote kwa sababu hajawahi Kuwa ccm
 
Hoples point..
mbona hakuwahi kuona mbele kwamba CUF kujiunga na waliberali wanaosapoti ushoga ni sawa na kuchochea ushoga pindi wakikamata nchi.
Christian Democratic Union (CDU) - chama cha kihafidhina, ndio waunga mkono wakuu wa ushoga ujerumani, na hao hao ndio marafiki wakubwa wa CHADEMA na wanawasapoti CHADEMA kwa asilimia kubwa sana, chadema inapokea maelefu ya dola kila mwezi kutoka kwa chama kinachokubaliana na ushoga duniani.
 
Na mimi Kati ya madokta nisiowaelewa Tanzania hii ni Dokta Babu.

1387911358405.jpg
Sawa ndugu MSALANI
 
Last edited by a moderator:
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari
Vipi wao walisuluhisha na hamad rashid mohammed? Au ndio basi tu lazma kuwa na maoni ?
 
Kumbe we hunaga uwezo wa kufikiri.. kale ka'thread ka jana kwamba cdm hakuna mgogoro bali wanaigiza kuipumbaza ccm, na we umekaamini..
hahahah! huwa tunatunga vitu kuwapata mambumbumbu kama wewe..
THNK BIG!

Kamchezo kakuigiza tu hako. Eti msaliti na mhaini lakini bado ni mwanachama na anafanya mikutano ya hadhara kupitia chadema. Huo kama si mchezo wa kuigiza ni nini?

Si wamfukuze? kama si mchezo wa kuigiza.
 
Mkuu nimemsikiliza Lipumba vuzuri sana ameongea vizuri sana tofauti na mtoa mada hapa
Alitoa ushsuri kwamba anatambua umuhimu wa chadema katika mchakato wa kstiba na hatalisifu jitihada walizoizionyesha cdm kwa kutambua hilo aliitaka chadema kutatua mgogoro huo mapema iki waweze kuconcetrate kwenye issue ya katiba.

Hicho ndicho alichoongea .
nijuavyo mimi hakuna mgogoro cdm.kamati kuu lini mtatupa raha kwa kukinyofoa kirusi nyumbani kwetu?
 
Kamchezo kakuigiza tu hako. Eti msaliti na mhaini lakini bado ni mwanachama na anafanya mikutano ya hadhara kupitia chadema. Huo kama si mchezo wa kuigiza ni nini?

Si wamfukuze? kama si mchezo wa kuigiza.

Hakuna mwenye ubavu wa kumsogeza Zitto CHADEMA. Siku 14 zimekwisha na bado Zitto anadunda tu.
 
Christian Democratic Union (CDU) - chama cha kihafidhina, ndio waunga mkono wakuu wa ushoga ujerumani, na hao hao ndio marafiki wakubwa wa CHADEMA na wanawasapoti CHADEMA kwa asilimia kubwa sana, chadema inapokea maelefu ya dola kila mwezi kutoka kwa chama kinachokubaliana na ushoga duniani.

na we ni.shoga?
 
Kamchezo kakuigiza tu hako. Eti msaliti na mhaini lakini bado ni mwanachama na anafanya mikutano ya hadhara kupitia chadema. Huo kama si mchezo wa kuigiza ni nini?

Si wamfukuze? kama si mchezo wa kuigiza.
Wanasubiri Barua kutoka kwa wafadhili wao CDU, kama wamekubali ombi la kumfukuza au wamekataa.
 
Kamchezo kakuigiza tu hako. Eti msaliti na mhaini lakini bado ni mwanachama na anafanya mikutano ya hadhara kupitia chadema. Huo kama si mchezo wa kuigiza ni nini?

Si wamfukuze? kama si mchezo wa kuigiza.
You are right.... Ule ni ujinga na maigizo tu
 
Illiterate Prof.

Tangu lini hatua za kinidhamu zikageuka kuwa migogoro?

Kwa hiyo yeye alishindwa kumaliza mgogoro na Hamad Rashid?

Hawa ndio maprofesa wanafiki wanaochimbia weledi wao ardhini

Hawezi kufanya Rational Analysis

Cc Prof. Juma Kapuya
 
Ben
Kwani cku 14 hazijaisha??mfukuzeni aende ADC there nakuhakikishia jimbo kama /iringa mjini,nyamagana,ilemera,arusha mjini ,na ubungo yakiludi chadema nakupatia mshahara wangu wa miez 2 ,siasa imewapiga jumbo hao wote muu lize vicent Nyerere alivyo saidiwa na huyo zitto 2010.
 
Naona unaanza matusi ya reja reja. Ukiendelea na matusi nnakuahidi kuwa ntabofya hiki kifungo:

Hili ni onyo kwako na nnakusihi kuwa itumie JF kwa heshima na adabu, hili ni jukwaa la siasa, hapa ni pahala pa kupashana habari, kulumbana kwa hoja, kuelimishina na kupiga soga kistaarabu.

JF wanaingia, watu na heshima zao, MaSheikh, Wachungaji, Mawaziri, Wabunge, Wanasiasa, Waalimu, Wazee, Vijana, Watoto na watu wengi wengine wenye heshima zao.

JF si pahala pa kutukanana au kuvunjiana adabu. Kama unapenda matusi kuna Jukwaa la Wakubwa, nenda huko ukatukane mpaka hamu yako iishe. Kumbuka hilo.

Nakala kwa moderators wa jukwaa la siasa: Paw, PainKiller, Fang, Buchanan, Cookie

mbona umeambiwa ukweli tu kuwa uache kujipendekeza kwa mabwana wa wenzio! kama kuchoka umechoka tu na inadhihirishwa unachopost humu! unatoaga lugha za kejeli kwa wenginge mbona huwa wanakuacha!? pambana tu acha unyoro nyoro!
 
Back
Top Bottom