Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,095
vuta nikuvute ukisema lindi na mtwara wamelipiza kisasi utasemaje dodoma ambako tumezoa kura na arusha tumewapoka Chadema baadhi ya viti na manyara na kwingineko kwiingi ambako tumeshinda kwa kishindo??? wale wana mtwara ni cuf asilia ndio maana chadema hawatii pua pale na nikuhakikishie tu kuwa mwakani utashika mdomo kwa sapraizi ya mwak kwani hawahawa unaodai wamelipiza kisasi ndio hawahawa watakaowageuka na kutupigia sisi kura
ungejua vijana mtwara walivyopania kuondoa mdudu ccm