TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
KAMPENI za mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa alizofanya hivi karibuni katika mikoa ya Mtwara la Lindi , zimewaachia wananchi wa mikoa hiyo maswali mengi ambayo atalazimika kuyajibu na kuyatolea ufafanuzi wa kina pindi atakaporejea tena katika mikoa hiyo kwa ajili ya kampeni.
Lowassa amesema:
Endapo atachaguliwa na kuwa rais wa jamhuri ha Muungano wa Tanzania, atapitia mikataba yote ya gesi asilia ambayo kwa sasa inazalishwa katika Mkoa wa Mtwara.
Swali la wa wana Mtwara na Lindi kwa Lowassa: sheria itakatosimamia mikataba yote ya gesi hiyo ilipitishwa na Bunge lililomaliza muda wake mwanzoni mwa mwezi julai, mwaka huum huku Lowassa mwenyewe akiwa miongoni mwa wabunge waliopitisha sheria hiyo kwanini hakususa kama Ukawa walivyofanya kupinga kupitishwa kwa sheria hiyo kama kweli ana mashaka na mikataba hiyo?
Wasiwasi wa wana Mtwara na Lindi: LOWASSA ANAHISI KWAMBA SHERIA HIYO INAMBANA YEYE NA MAFISADI WAKE WANAOMCHANGIA FEDHA ZA KAMPENI KWA AHADI YA KUJA KUPEWA VITALU VYA GESI, KWA HIYO ANAONA IPO HAJA YA KUIPITIA UPYA ILI IWEZE KUTOA UNAFUU KWA KUMWEZESHA KUTIMIZA AHADI ZAKE ZA KUGAWA VITALU VYA GESI KWA WATU WAKE WAO?
Mkazi mmoja wa mji wa NDANDA, GODFREY NYAMBI, anasema kwa historia ya Lowassa kuhusu mikataba ya uwekezaji nchini, hana anachoweza kuwaeleza wananchi wakamuelewa. "HISTORIA YA UTENDAJI WA LOWASSA KATIKA ENEO HILI LA MIKATABA , INAFAHAMIKA KWA KILA MWANANCHI , KILA MKATABA ALIOSIMAMIA LOWASSA AKIWA SERIKALINI UNA HARUFU YA UFISADI NA KUNYONYA UCHUMI WA NCHI HII" anasema Nyambi na kuhoji. Ni mwananchi gani amesahau mkataba wa RICHMOND, ni mwananchi gani amesahau DILI LAKE LILILOSHINDWA LA KULETA MVUA KUTOKA THAILAND? n.k
UKWELI KUHUSU GESI YA MTWARA: Shirika la Maendeleo ya Petroli(TPDC) zinasema, sheria hiyo ya mikataba wa gesi ambayo Lowassa anasema ataipitia upya endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania , Inaitaka Serikali , pamoja na mambo mengine , kuwa mmiliki mkuu wa vitalu vyote vya gesi kwa kati ya asilimia 65 hadi 75, huku wawekezaji wote binafsi , awe wa ndani au nje , akitakiwa kumiliki hisa za kati ya asilimia 25 na 35. Kwa mujibu wa Sheria hiyo, msimamizi mkuu wa rasilimali hiyo ya gesi asilia kwa niaba ya serikali , watakuwa TPDC wenyewe. Taarifa hizo zinafafanua kwamba Shirika hilo, pamoja na mambo mengine, linatakiwa na sheria hiyo kuunda mfuko Maalum wa Gesi, ambao utahusika kuhifadhi fedha zote zitakazotokana na gesi kwa ajili ya manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
KADI MPYA ZA CCM: Baadhi ya wa wananchi wa jimbo la MTAMA, Mkoa wa Lindi lililokuwa likiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, BENARD KAMELIUS MEMBE na linalogombewa na Katibu wa NEC , Itikadi na uenezi, NAPE MOSES NNAUYE wamedai kuwa siku ambayo LOWASSA na timu yake ya Kampeni walifika jimboni humo kwa lengo la kufanya Kampeni zao, WALIKUWA NA LUNDO LA KADI MPYA ZA CCM. Wananchi hao wamedai kuwa timu hiyo ya kampeni za Lowassa walidawa mpya za CCM ambazo hadi sasa haijajulikana walizipata wapi na kuzigawa kwa baadhi ya wanancni wa jimbo hilo wakiwa na maelekezo maelekezo ya kuzirejesha kadi hizo wakati wa mkutano wake wa Kampeni uliofanyika jimboni humo ili ionekane kuwa hao wanaorudisha kadi ni wana CCM walioamua kuachana na chama hicho na kujiunga na CHADEMA.
Itakumbukwa kuwa kwa muda mrefu Membe na Nape wamekuwa na uhasama wa kisiasa na Lowassa , hasa baada ya mwanasiasa huyo kuiingiza CCM na Serikali yake katika kashfa nzito ya UFIASADI unaohusiana na KAMPUNI YA RICHMOND akiwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2006 na 2007, lowassa andaiwa kuibeba na kuipatia upendeleo kampuni ya hiyo ya Richmond katika zabuni ya kufua umeme wa dharura.
Uhasama wa Lowassa na NAPE pia unatokana na mwanasisa huyo kijana(NAPE) kuibua ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanywa na LOWASSA katika ujenzi wa Jengo la Umoja wa vijana wa CCM(UVCCM) lililopo makutano ya barabara ya morogoro na ile ya Lumumba.
Baadhi ya wananchi wa Mtama wamekwenda mbali na kumtuhumu Lowassa kwamba huenda kadi hizo zilitengenezwa mahsusi kwa gharama yake na kusambazwa katika jimbo lao ili kuendeleza mchezo wake mchafu wa kisiasa dhidi ya CCM.
SOURCE: MKAKATI