Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
ukiwa Mwana Ccm aRsh lazima JAShO likUToke HamNa KuchezabaO hAPa.
Michezo yenu tunaijua.Mnanuka samadi..
ukiwa Mwana Ccm aRsh lazima JAShO likUToke HamNa KuchezabaO hAPa.
Tupatupa wewe ni mzandiki unaandika kizandiki kuhusu chama chetu ccm.
Mnanishangaza Sana . AU mmepewA limBwata na ccM. ?
Aisee Marangu na Rombo vipi?
Uongo mkuu, nakuhakikishia, niko mtwara naataarifa za kuaminika kutoka kwa uongozi wa CCM ni kwamba CCM ni 53 na ukawa ni 58 huamini waulize viongozi wako wa CCM mtwara hutakia unaacha.
Hajawahi na hatawahi kuwa mwanaCCM kwa sababu tunafahamu vizuri sana ID iliyoko nyuma ya VUTA-NKUVUTE.Tupa Tupa ndio mwanaccm pekee anayeletaga JF habari za kweli za Ccm hata kama ni chungu kiasi gani. Credibility yake ni kubwa sana hapa jamvini.
kwikwikwi Wana Mtwara wame wapiga chenga UKAWA hawaamini macho yao!
Kuna posti humu ilikuwepo tokea mchana eti Lindi na Mtwra wameikataa ccm.itabidi sasa nisubiri matokeo rasmi humu watu wana ashki matokeo
Kwani nchi hii mbona umaskini huko mikoa mingi tuu? shinyanga ,Singida!....
Mtwara Matokeo!
CCM wameshinda mitaa 58
Wapinzani mitaa 53!
ikumbukwe kwamba Mitaa 100 CCM walipita bila kupingwa!
Kama mlitumia kigezo cha umaskini kutaka kuwadanya watakuwa wamewashitukia maana nchi hii umaskini huko mikoa mingi kwanza sasa hivi Mtwara kuna maendeleo sana!
Poleni sana
kuna posti humu ilikuwepo tokea mchana eti lindi na mtwra wameikataa ccm.itabidi sasa nisubiri matokeo rasmi humu watu wana ashki matokeo
mtwara mini matokeo!
Mitaa 100 ccm wapita bila kupingwa!
Ccm wameshinda mitaa 58
wapinzani mitaa 58!
Tupa tupa acha kuwadanganya wenzio!
Hajawahi na hatawahi kuwa mwanaCCM kwa sababu tunafahamu vizuri sana ID iliyoko nyuma ya VUTA-NKUVUTE.
Huyu ni kijana wa BAVICHA ambaye anatokea mkoa wa Pwani na ana shahada ya sheria kutoka UDSM.
Unaweza ukaendelea kuamini unavyoamini lakini mwenye macho haambiwi tazama!
mimi nilikua mtwara nimeondoka leo
ngoja nikuulize kitu,sehemu ambayo wenyeviti wa mtaa ccm walika zaidi ya mia leo wanabaki 53 huo ni ushindi?
Acha bangi wewe 53 ni ukawa na CCM 58
Acha bangi wewe 53 ni ukawa na CCM 58
Mimi binafsi ngoja nisubiri matokeo rasmi, siamini watu humu! Jana usiku kwa mfano arusha, watu walikuwa ni "eh chadema kachukua huku, Nasari anatisha kabeba arusha yote" leo nasikia matangazo, ccm imeshinda Arusha!! Ngoja ningoje tu matokeo rasmi, naona huku kuna ushabiki tu wa mahaba!
kwikwikwi Wana Mtwara wame wapiga chenga UKAWA hawaamini macho yao!
Kuna posti humu ilikuwepo tokea mchana eti Lindi na Mtwra wameikataa ccm.itabidi sasa nisubiri matokeo rasmi humu watu wana ashki matokeo