Lindi na Mtwara wameshalipiza kisasi

Lindi na Mtwara wameshalipiza kisasi

Kwenye percentages ama? Sasa 53 ni below 50? Hata dunia inamajira tofauti ndio maana hata matukio yanakuja tofauti. Haiwezi kuwa kila siku mambo yale yale ila kushindwa ni kushindwa tu hakuna mjadala!

UKAWA wana 58 pole sana kwa kushabikia ccm
 
Kwa hatua waliyofikia mtwara ni ya kupongezwa, ccm hali yao ni mbaya sana sasa hivi ushindi wao wanautegemea kuupata kwenye mapingamizi tu. Shame on them.

yaani mtwara CCM walimonopolise na bado
unaambiwa kijijini kwa ghasia cuf wamechukua
mabadiliko yaliyotokea ni makubwa sana sikutegemea km eti waTZ wataamka hivi
 
Hapo 2015 mshangao utaongezeka maana vijana wengi watapiga kura na unajua wao ni ukawa
 
Suala la Umaskini kwa Mtwara siyo kweli kabisa. Ni wilaya ya Mtwara Rural tu ndo umaskini unaonekana, lakini kitaifa Mrwara haipo katika mikoa maskini.

Tuje kwenye uchaguz, bado matokeo kule ni 50/50. Kule Msimbat ambako ni chimbuko la ges ya asili CCM kuna mitaa ilipata kura0. Na kwenye ushindani lazima kila mrengo upate kura. Kama Arusha bado kwa uchaguz huu wa vitongoji kwa mujibu wa Dira ya Dunia BBC jana Cdm na CCm bado ilikuwa ni 50-50 ambayo ni good move bado. Cha msingi somo la elimu ya uraia na kujitambua lisiishie wakati huu tu. Liendelezwe kwa katiba inayopendekezwa na uchaguzi mkuu 2015, na opposition ikiweka malengo na kupata wabunge 180-200, hata kama wasishinde urais; nchi itanyooka tu kwa kuwa maamuz ya NDiyooo Bungeni hayatakuwepo. Ndiyooo yamesababisha mambo mengi ya ovyo kupita ambayo hayana tija kwa Taifa

hahaaaa nsimbaati kungine walipata sifuri?????
saf sana mi nilikua mtwara bwana nilichokiona maeneo ambayo wameshinda CCM ni kule ambako vikongwe wamejaa na wenye CCM yao mfano naliendele,ligula mbelenje na ligula pentecoste na ukiangalia wengi huku sio wazawa
mikindani cuf tupu,kianga A na B CDM
LIKONDE kelu cuf,cdm na nccr inshort km ungekuepo mtwara ungefurahi na roho yako
mh.murji alitoa magari 8 watu wakaangalie nani mtani jembe jmosi
huwezi amini vjana waligoma wakaanza kurushiana meseji za kukataa ofa ile maana walijua ni mbinu chafu isiyo na lengo zuri walijua wangechelewa uchaguzi mi kwa kweli nawashukuru sana wana mtwara na bado wanasema wanataka kuhakikisha katiba haipiti ng'oo
 
Hivi mtu kupiga kura kwa ufahamu wake ni kisasi ikiwa wewe umeshindwa?
Kwani mlitegemea hisani au haki yenu?
 
Mkuu mhim ni kupeana taarifa mapema!

Wametangaza itaanza January up to April 30. ...wape taarifa na wengine

Kwa January sidhani,maana vifaa bado havijawasili.Ila Zanzibar nadhani wameshaanza sina uhakika,labda watujuze.

Nadhani lengo la Serikali litumike DAFTARI la zamani kama lilivyo ndiyo maana wapo slow kutoa pesa.
 
Suala la Umaskini kwa Mtwara siyo kweli kabisa. Ni wilaya ya Mtwara Rural tu ndo umaskini unaonekana, lakini kitaifa Mrwara haipo katika mikoa maskini.

Tuje kwenye uchaguz, bado matokeo kule ni 50/50. Kule Msimbat ambako ni chimbuko la ges ya asili CCM kuna mitaa ilipata kura0. Na kwenye ushindani lazima kila mrengo upate kura. Kama Arusha bado kwa uchaguz huu wa vitongoji kwa mujibu wa Dira ya Dunia BBC jana Cdm na CCm bado ilikuwa ni 50-50 ambayo ni good move bado. Cha msingi somo la elimu ya uraia na kujitambua lisiishie wakati huu tu. Liendelezwe kwa katiba inayopendekezwa na uchaguzi mkuu 2015, na opposition ikiweka malengo na kupata wabunge 180-200, hata kama wasishinde urais; nchi itanyooka tu kwa kuwa maamuz ya NDiyooo Bungeni hayatakuwepo. Ndiyooo yamesababisha mambo mengi ya ovyo kupita ambayo hayana tija kwa Taifa

ccm kura 0 ??????
 
hunisaidii ila toa taarifa sahihi..umetudanganya lindi na mtwara wameiangusha ccm lakini gazeti lenu la mwananchi limeandika ccm inaongoza kwa wingi wa viti ikifuatiwa na cuf halafu nyinyi.. sasa asakuta same chadema kupata viti arusha sio hoja sana kwani bado hawajatufikia wala kutuzidi na hii tafsiri yake ni kuwa umaarufu wa lema unaanza kushuka na watu wanarudi nyumbani..kwa kuwa wako wengi wanarudi taratibu na kimbunga utakiona 2015
Hivi wewe unajielewa kweli? Arusha mmewapoka chadema viti gani?
Kukusaidia ni kuwa Arusha chadema walikuwa na viti 7 tu kabla ya uchaguzi huu.
 
geniveros katika hao hao vijana wako ambao wanazinduka na kuelewa kuwa walikuwa wanapotezwa kwa kupewa viroba sasa wameamua kurudi na watarudi wengi kweli ifikapo 2015
ungejua vijana mtwara walivyopania kuondoa mdudu ccm
 
TANDAHIMBA MITAA 25 CUF CCM 3

nilikua mtwara wanafuraha hao hatari
msimbati CUF tupu
VIVA UKAWA

Dah sasa kwa mtindo huu mwakani mbunge Njwayo atakalishwa na Katani wa UKAWA/CUF.
Kumbe Msimbati kwenye gesi wamechagua CUF. Hawa Ghasia lazima achoke maana kwenye mkutano wa hadhara sokoni Mtwara (akiwa na Kinana, Nape na Mkuchika) alisema watu wa huko ni wa kwake na wasiwe kama wa mjini.
Baaaaaah !
 
matola dodoma wameipigia kura ccm na arusha ccm inaongoza kwa wingi wa viti

Hebu twende taratibu, Arusha Ccm imepoteza viti vingapi na Ukawa wamepoteza viti vingapi? Maana somo la Mathematics wengi mlilikimbia njoo nikufundishe hesabu, numbers never lie.
 
ccm hatukuwa na hatimiliki ya viti hivyo kila uchaguzi unapofika tunajihesabu kama hatuna kitu tunatafuta viti na tumepata vingi kuliko vyenu hesabu gani tena wataka?
Hebu twende taratibu, Arusha Ccm imepoteza viti vingapi na Ukawa wamepoteza viti vingapi? Maana somo la Mathematics wengi mlilikimbia njoo nikufundishe hesabu, numbers never lie.
 
Nipen za kigoma mjini wanajamii wenzangu...kwa bwana serukambaaa
 
ccm hatukuwa na hatimiliki ya viti hivyo kila uchaguzi unapofika tunajihesabu kama hatuna kitu tunatafuta viti na tumepata vingi kuliko vyenu hesabu gani tena wataka?

laiza kilaza no wonder siku hizi hamna lugha yenu ya kuyagomboa majimbo?
 
Nipen za kigoma mjini wanajamii wenzangu...kwa bwana serukambaaa

Mimi nayafahamu matokeo katika Jimbo la Zitto, Kata ya Kalinzi yenye vijiji vitatu yaani |Kalinzi yenyewe, Matyazo na Mkabogo viti vyote ni mali ya Chedema
 
1016971_284048351736663_180914546_n.jpg

Jakaya Kikwete ameiharibia CCM kwa kiwango cha kutisha.
Wanajuta kuchagua fisadi.

Mafuriko yaja kura za maoni 2015.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom