Bongo ubongo
Member
- Dec 12, 2014
- 9
- 2
vijana--vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
wazee--shumakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa;
embu nenden mkafie mbele uko.
wazee--shumakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa;
embu nenden mkafie mbele uko.
Tusubiri matokeo kamili. Hizi porojo za Kinondoni tumezichoka sasa
Tunasubiri Nape atoe statement kuwa ccm imepoteza vitongoji vingapi
Weka hapa matokeo ya Mtwara na Lindi acha kuwadanganya witu! hata kama kuna sehemu wameshinda basi tofauti ni mitaa isiyopungua mitatu!
Masasi na wilaya nyingine za Mtwara CCM wameshinda kwa kishindo sana tena Lindi ndio usiseme!
Wapinzani walipo onesha upinzani kidogo ni Mtwara mjini na ni CUF na kwenyewe ni tofauti ya mitaa kama 3 au minne! Na kwa matokeo haya hayawezi kuwapatia kiti cha ubunge kabisa!
Jamani hiki ni KIAMA. GEITA YOTE IMEPIGWA. UKAWA KIDEDEA KWA 97%
Kiama ya CCM ni mwaka 2015, kelele zenu zote zitaisha.
Huu ni mwanzo tu hata safari hatujaanza. Hivyo msiwe na presha juu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
maneno mengi bila ya data hayasaidii
Hapa kwetu, kati ya mitaa 71 ccm imeshinda mitaa 4 tu. Viva CDM.
TANDAHIMBA MITAA 25 CUF CCM 3
nilikua mtwara wanafuraha hao hatari
msimbati CUF tupu
VIVA UKAWA
TANDAHIMBA MITAA 25 CUF CCM 3
nilikua mtwara wanafuraha hao hatari
msimbati CUF tupu
VIVA UKAWA
Hahahahaha utakuwa na maleria tunawatokomeza vijana tumeamka unajitekenya na kujichekesha mwenyeweWeka hapa matokeo ya Mtwara na Lindi acha kuwadanganya witu! hata kama kuna sehemu wameshinda basi tofauti ni mitaa isiyopungua mitatu!
Masasi na wilaya nyingine za Mtwara CCM wameshinda kwa kishindo sana tena Lindi ndio usiseme!
Wapinzani walipo onesha upinzani kidogo ni Mtwara mjini na ni CUF na kwenyewe ni tofauti ya mitaa kama 3 au minne! Na kwa matokeo haya hayawezi kuwapatia kiti cha ubunge kabisa!
Hali ni tete huko Lindi na Mtwara kwa CCM. Matokeo yanayotufikia hapa Ofisi Ndogo za Chama,Lumumba si vutizi. UKAWA wametupoka sehemu nyingi huko.CUF imetamalaki. CUF imetetea mitaa yake na kupoka mingine toka CCM.Wana-Lindi na Mtwara hatimaye wamelipa kisasi na kuonesha kinyongo chao juu ya sakata la gesi asilia.
Kipigo cha gesi kimejibiwa na kipigo cha kura. Sijui mwakani itakuwaje. Wana-Lindi na Mtwara tusameheni jamani.Tuliteleza.Hatutarudia tena.Safari hii mkiliona jeshi huko basi liko Kambini au limekuja kujenga madaraja na miundombinu mingine.
Kujikwaa si kuanguka.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam