Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,428
- 8,052
Kuna posti humu ilikuwepo tokea mchana eti Lindi na Mtwra wameikataa ccm.itabidi sasa nisubiri matokeo rasmi humu watu wana ashki matokeo
'Ashik Majinun' wengi!
Kuna posti humu ilikuwepo tokea mchana eti Lindi na Mtwra wameikataa ccm.itabidi sasa nisubiri matokeo rasmi humu watu wana ashki matokeo
mimi nilikua mtwara nimeondoka leo
ngoja nikuulize kitu,sehemu ambayo wenyeviti wa mtaa ccm walika zaidi ya mia leo wanabaki 53 huo ni ushindi?
Jamiiforums kama facebook tu siku hizi ni Kigenge cha jobless kabisa , watu wanaandika mipasho kama watoto wa kike. Utaongeaje bila data subir matokeo yatoke tuone hitimisho lako. Na matokeo yakikamilika wanaoongea kitu cha maana ni kina Pasco tu humu ndio ambao unaweza angalau kusoma mabandiko yao hapa, ila waliobaki vilaza wanaandika ujinga tu hapa, hayo mahaba yao sijui hata wanayapeleka wapi aisee!
Matokeo Arusha
CCM 78-CHADEMA 75 sasa kwa matokea haya labda tuseme Arusha wapakatwa na CCM.
Mtwara Mini matokeo!
Mitaa 100 CCM wapita bila kupingwa!
vuta nikuvute ukisema lindi na mtwara wamelipiza kisasi utasemaje dodoma ambako tumezoa kura na arusha tumewapoka Chadema baadhi ya viti na manyara na kwingineko kwiingi ambako tumeshinda kwa kishindo??? wale wana mtwara ni cuf asilia ndio maana chadema hawatii pua pale na nikuhakikishie tu kuwa mwakani utashika mdomo kwa sapraizi ya mwak kwani hawahawa unaodai wamelipiza kisasi ndio hawahawa watakaowageuka na kutupigia sisi kura
Hajawahi na hatawahi kuwa mwanaCCM kwa sababu tunafahamu vizuri sana ID iliyoko nyuma ya VUTA-NKUVUTE.
Huyu ni kijana wa BAVICHA ambaye anatokea mkoa wa Pwani na ana shahada ya sheria kutoka UDSM.
Unaweza ukaendelea kuamini unavyoamini lakini mwenye macho haambiwi tazama!
haa haa, mkuu kama umasikini uko mikoa mingi, kwa nini tuendelee kubaki na ccm? Ccm must go, imechoka.Kwani nchi hii mbona umaskini huko mikoa mingi tuu? shinyanga ,Singida!....
Mtwara Matokeo!
CCM wameshinda mitaa 58
Wapinzani mitaa 53!
ikumbukwe kwamba Mitaa 100 CCM walipita bila kupingwa!
Kama mlitumia kigezo cha umaskini kutaka kuwadanya watakuwa wamewashitukia maana nchi hii umaskini huko mikoa mingi kwanza sasa hivi Mtwara kuna maendeleo sana!
Poleni sana
haa haa na aliyekwambia CCM inapenda maendeleo ni nani!aliyekuambia chadema inaleta maendeleo ni nani?
katika mitaa 155 ya jiji la arusha Cdm wameshinda mitaa 110 na ccm mitaa 43, mitaa mi2 uchaguzi unafanyika leo! Utake usitake habari ndo hiyo!Mimi binafsi ngoja nisubiri matokeo rasmi, siamini watu humu! Jana usiku kwa mfano arusha, watu walikuwa ni "eh chadema kachukua huku, Nasari anatisha kabeba arusha yote" leo nasikia matangazo, ccm imeshinda Arusha!! Ngoja ningoje tu matokeo rasmi, naona huku kuna ushabiki tu wa mahaba!