Lindi na Mtwara wameshalipiza kisasi

Lindi na Mtwara wameshalipiza kisasi

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,006
Hali ni tete huko Lindi na Mtwara kwa CCM. Matokeo yanayotufikia hapa Ofisi Ndogo za Chama,Lumumba si vutizi. UKAWA wametupoka sehemu nyingi huko.CUF imetamalaki. CUF imetetea mitaa yake na kupoka mingine toka CCM.Wana-Lindi na Mtwara hatimaye wamelipa kisasi na kuonesha kinyongo chao juu ya sakata la gesi asilia.

Kipigo cha gesi kimejibiwa na kipigo cha kura. Sijui mwakani itakuwaje. Wana-Lindi na Mtwara tusameheni jamani.Tuliteleza.Hatutarudia tena.Safari hii mkiliona jeshi huko basi liko Kambini au limekuja kujenga madaraja na miundombinu mingine.

Kujikwaa si kuanguka.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Tunasubiri Nape atoe statement kuwa ccm imepoteza vitongoji vingapi
 
Yalaaaaahhhhhh.....................lumumba kama nawaona vile mkimbwela mbwela kwa kuchanganyikiwa!
 
Hali ni tete huko Lindi na Mtwara kwa CCM. Matokeo yanayotufikia hapa Ofisi Ndogo za Chama,Lumumba si vutizi. UKAWA wametupoka sehemu nyingi huko.CUF imetamalaki. CUF imetetea mitaa yake na kupoka mingine toka CCM.Wana-Lindi na Mtwara hatimaye wamelipa kisasi na kuonesha kinyongo chao juu ya sakata la gesi asilia.

Kipigo cha gesi kimejibiwa na kipigo cha kura. Sijui mwakani itakuwaje. Wana-Lindi na Mtwara tusameheni jamani.Tuliteleza.Hatutarudia tena.Safari hii mkiliona jeshi huko basi liko Kambini au limekuja kujenga madaraja na miundombinu mingine.

Kujikwaa si kuanguka.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Halafu mtumeni Pius Msekwa kutamka tena kuwa JF imeshusha kura....
 
na bado.
hii ni manyunyu tu, mvua yenyewe inakuja mwakani 2015.
hawawezi kutuona mafala miaka yote. wanabeba hela zetu na magunia/mabox etc halafu tuendelee kuwachekea tu?
....mbafu zao.
 
Hapa kwetu, kati ya mitaa 71 ccm imeshinda mitaa 4 tu. Viva CDM.

HUku kwetu watu hawataki kusikia kitu kama CCM! Wanathubutu kusema wewe ni ccm na kama binadamu tunakupenda lkn ondoka basi huko ili tukpende zaidi! Mambo ni magumu hasa vijijini ikizingatiwa kuwa vijana wamekuja juu sana!!
 
Huko kwenu wapi? Hakuna jina?
 
Hali ni tete huko Lindi na Mtwara kwa CCM. Matokeo yanayotufikia hapa Ofisi Ndogo za Chama,Lumumba si vutizi. UKAWA wametupoka sehemu nyingi huko.CUF imetamalaki. CUF imetetea mitaa yake na kupoka mingine toka CCM.Wana-Lindi na Mtwara hatimaye wamelipa kisasi na kuonesha kinyongo chao juu ya sakata la gesi asilia.

Kipigo cha gesi kimejibiwa na kipigo cha kura. Sijui mwakani itakuwaje. Wana-Lindi na Mtwara tusameheni jamani.Tuliteleza.Hatutarudia tena.Safari hii mkiliona jeshi huko basi liko Kambini au limekuja kujenga madaraja na miundombinu mingine.

Kujikwaa si kuanguka.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Yeah! Kujikwaa siyo kuanguka! Ila ni kuumia...bila formula.

Mungu awabariki wote ambao hawakuipigia kura CCM, waliopigia kura upinzani na awatie nguvu wale ambao hawajajiandikisha kabisa kupiga kura. Mungu awatumie Roho mtakatifu wote ambao hawajajua umuhimu wa kura zao katika mabadiliko,ili tuungane wote kuleta mapinduzi ya kweli nchini. MUNGU AWAKUMBUSHE WOTE UMUHIMU WA KUJITOKEZA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA!

Sijui Mungu awafanye nini wote walioipigia CCM na wale ambao walisaidiana na serikali ya CCM kuuhujumu uchaguzi. Hao ni yeye tu anajua cha kuwafanya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom