pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,337
- 3,979
Taratibu ila kwa uhakika...hakuna lisilo na mwisho,hii ni ishara kabisa ya mwisho kuwa ccm imekufa..
msimbati ndiko wamefunga kazi moja kwa moja
wamepiga chini ccm mazima,,
shenzy type panapo uhai tutakutana mwakani
eti wanakuja na gia ya kujifanya wanamalizia bara bara ya nangurukuru haisaidii hiyo.
Leteni wanajeshi wapige kura sasa
lazima tuwafunze adabu safari hii
Maneno mengi bila ya data hayasaidii
Sasa hivi wanangoja kuja na majumuisho kuonyesha kwamba kati ya vijiji 5000 wao wamepata vijiji 3500 kwahiyo wamepata ushindi wa kishindo.Tunasubiri Nape atoe statement kuwa ccm imepoteza vitongoji vingapi
Tuliwaambia Lumumba kwamba chama cha siasa si majengo bali ni kukubalika kwa sera za chama husika kwa wananchi - wakatubishia, tena wakatubeza na kuendelea na tabia yao ya somba-somba watu kwa malori na mabasi kwenda kwenye mikutano yao huku wakigawa fulana, kofia na wali - pamoja na burudani kede kede toka kwa wasanii maarufu eti hiyo ndiyo njia yao ya kuzinadi sera zao.
Sasa ngoja tuone mwenezi wao atakuja na PAUKWA gani kuhusu pigo hili la uchaguzi.
Sasa hivi wanangoja kuja na majumuisho kuonyesha kwamba kati ya vijiji 5000 wao wamepata vijiji 3500 kwahiyo wamepata ushindi wa kishindo.
Ukiwauliza walikuwa na vijiji vingapi 2009, watakwambia hiyo sio hoja, hoja wameshinda kwa asilimia 80.
Ndio maana huwaoni wakina Msalani humu jukwaani. wanaandaa press release za ushindi.
Maneno mengi bila ya data hayasaidii
Tusubiri matokeo kamili. Hizi porojo za Kinondoni tumezichoka sasa