Mtwara na Lindi katika uamuzi mgumu

Mtwara na Lindi katika uamuzi mgumu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,006
Tutawajua.Tutawajua kama walikuwa wanafiki au wakweli.Tutawajua kama walifurahia kilichofanywa kwao au walichukia. Tutawajua kama kuchoma kwao majengo kulikuwa ni mikwara mbuzi tu na hawakuwa serious. Tutawajua wana-Mtwara na Lindi Jumapili. Siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Najua wanakumbuka kilichotukia.Wanakumbuka songombingo la gesi asilia na utawala wa kijeshi huko. Wanakumbuka kiapo chao cha kuishikisha adabu CCM huko Mtwara na Lindi. Sasa muda umewadia. Muda wa utekelezaji wa kiapo chenu ni sasa. Muda wa kuonesha ukweli wa kauli zenu ni huu.

CCM tukishinda kwa ushindi wa kimbunga Mtwara na Lindi,wana-Mtwara na Lindi mjiandae kutulipa nyumba na majengo mengineyo mliyoachoma huku mkiapa kutuchapa bakora za kiuchaguzi. Ni muda wenu wa kufanya uamuzi mgumu.

Mambo yote ni Jumapili tarehe 14/12/2014! Wana-Mtwara na Lindi kazi ni kwenu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Aione: THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Halafu walewale waliowachapa bakora za mgongoni na unyama mwingine ni walewale watakuwa walinzi wa zoezi hilo (wajeda), sijui itakuwaje!
 
Wana Lindi na Mtwara wameshashtuka kuwa walikuwa wanachezewa na wanasiasa wa upinzani chini ya chama cha CUF. Kwa sasa wamerudi na wanafanya kazi kwa bidii wakisaidiwa na serikali yao tukufu ya CCM. Wapinzani safari hii hawana chao
 
Halafu walewale waliowachapa bakora za mgongoni na unyama mwingine ni walewale watakuwa walinzi wa zoezi hilo (wajeda), sijui itakuwaje!
Hakuna ushahidi wa hayo. Waliochapwa bakora na micheledi ni makada wa CUF walioenda kupandikiza chuki
 
Huyu peter mselewa mbona amekuwa muongo sana kwenye hii nchi.
 
Nani alichapwa bakora weka ushahidi siyo porojo kama ulivyozoea kupotosha.
 
Hakuna ushahidi wa hayo. Waliochapwa bakora na micheledi ni makada wa CUF walioenda kupandikiza chuki
Na yule mama mjamzito aliyefanyiwa vitendo vya ajabu na wajeda ni CUF alienda kupandikiza chuki?
 
Tutawajua.Tutawajua kama walikuwa wanafiki au wakweli.Tutawajua kama walifurahia kilichofanywa kwao au walichukia. Tutawajua kama kuchoma kwao majengo kulikuwa ni mikwara mbuzi tu na hawakuwa serious. Tutawajua wana-Mtwara na Lindi Jumapili. Siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Najua wanakumbuka kilichotukia.Wanakumbuka songombingo la gesi asilia na utawala wa kijeshi huko. Wanakumbuka kiapo chao cha kuishikisha adabu CCM huko Mtwara na Lindi. Sasa muda umewadia. Muda wa utekelezaji wa kiapo chenu ni sasa. Muda wa kuonesha ukweli wa kauli zenu ni huu.

CCM tukishinda kwa ushindi wa kimbunga Mtwara na Lindi,wana-Mtwara na Lindi mjiandae kutulipa nyumba na majengo mengineyo mliyoachoma huku mkiapa kutuchapa bakora za kiuchaguzi. Ni muda wenu wa kufanya uamuzi mgumu.

Mambo yote ni Jumapili tarehe 14/12/2014! Wana-Mtwara na Lindi kazi ni kwenu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Aione: THE BIG SHOW

Upinzani wasipoleta wagombea wanamtwara wataacha kupiga kura kwa chama chochote kile

kwa mantiki hiyo kama CCM MAFISADI wakiweka mgombea maana yake ni kwamba wagombea wao watapita bila kupingwa

kwaiyo wapinzani wasiache kuweka wagombea kisha lawama wakazimiminia kwetu sisi

kwa ufupi huku hakuna mwenye hamu na hawa wezii
 
Pinda alifanya maamuzi ya kipuuzi sana lindi na mtwara
 
Upinzani wasipoleta wagombea wanamtwara wataacha kupiga kura kwa chama chochote kile

kwa mantiki hiyo kama CCM MAFISADI wakiweka mgombea maana yake ni kwamba wagombea wao watapita bila kupingwa

kwaiyo wapinzani wasiache kuweka wagombea kisha lawama wakazimiminia kwetu sisi

kwa ufupi huku hakuna mwenye hamu na hawa wezii

Naona unawaza hamu tu sijui vipi mwenzetu.
 
chumvi haijafika huko lindi?
maana ccm wanagawa chumvi tu
 
Huyu peter mselewa mbona amekuwa muongo sana kwenye hii nchi.

Mdogo wangu Simiyu Yetu,mimi ni mtu jasiri sana. Siwezi kujificha nyuma ya ID bandia na kutoa mawazo yangu huru. Nawaona muda mrefu tu mnataka kujua nani yuko nyuma ya ID ya VUTA-NKUVUTE. Mimi yangu ni hii ya Petro E. Mselewa. Huyo ni kada wenu na mtajuana wenyewe. Kama wewe una ubavu wa kuwa huru,njoo jamvini na ID verified. Acheni kutapatapa na kunichafua. Chungeni sana vijana wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Mtwara na Lindi Wananchi watakifanya walichokiahidi dhidi ya utawala wa kibeberu wa CCM ,hilo halina shaka majuto ya miccm na ccm yao yanakaribia ,ole wenu muibe na kuchafua matokeo ,yale yaliyotokea baada ya kupita majumbani na kugawa chunvi usiku usiku yatatekelezwa kivitendo. Wakati wa kudumazana umepitwa na wakati ,tena miccm msijaribu mtasahaulika .
 
Upinzani wasipoleta wagombea wanamtwara wataacha kupiga kura kwa chama chochote kile

kwa mantiki hiyo kama CCM MAFISADI wakiweka mgombea maana yake ni kwamba wagombea wao watapita bila kupingwa

kwaiyo wapinzani wasiache kuweka wagombea kisha lawama wakazimiminia kwetu sisi

kwa ufupi huku hakuna mwenye hamu na hawa wezii

ulibadilika liiiiiiiiini?asante!
 
Mkuu THE BIG SHOW tulikuwa Mtwara mwezi wa tisa kikazi kwa kweli nilishangaa jinsi Mtwara kulivyo na maendeleo tofauti na maneno yanasemwa juu ya Mtwara,wananchi wa Mtwara hawaitaki kabisa ccm,tulifika mpaka kule MSANGAMKUU na vitongoji vyote,Mtwara tupo pamoja na mabadiliko ni lazima
 
Back
Top Bottom