Lindi na Mtwara wameshalipiza kisasi

Lindi na Mtwara wameshalipiza kisasi

Mkuu Mingoi

Kwanza unatakiwa uelewe jiografia ya Arusha ndio uongee.

Uchaguzi uliopita wa wenyeviti na wajumbe CCM ilizoa zaidi ya 98% uchaguzi wa j2 hali imebedilika sana viongozi makini wa CCM lazima watajiuliza kuliko na si kushangilia ujinga.

CCM 78 - CHADEMA 75,vitatu vyatosha.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa mimi sina chama na wala ditakiunga mkono chama chochote kosa kufuata upepo wa vijana wenzangu, Ila wacha tu tuwaze juu juu ila pia tukiangalia hali halisi ya nchi, pesa zinaibiwa, wezi wanalindwa, halafu tena unaenda hospitali licha ya upungufu wa vitanda madawa ndo hakuna kabisaaa sasaaa kwa hali hii vijana tunaekwa njia panda na hali ya maisha imekuwa ngumu balaa biashara holela kila mtu anafanya yaan uongoz butuuuu kweli. Mimi si pigii chapuo UKAWA wala CCM lakin kama chama tawala kimeleta maangamizi kwa jamii wacha tujaribu kwa wengine. MUNGU IBARIKI TZ
 
asante matola kiamsha siku hizi hatuna kwa kuwa huna habari maana zamani ulikuwa una habari kuwa tunayo lugha ya kuyagomboa majimbo
laiza kilaza no wonder siku hizi hamna lugha yenu ya kuyagomboa majimbo?
 
Wana jamvi ktk hali inayoonyesha kuwa maisha ya ccm pale magogoni yanaelekea mwisho ni matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, huku mtwara na lindi ccm wanalia baada ya kuangushwa vibaya sana.Hivi ninapo post hii uzi maofisi ya ccm mengi yamefungwa kwa aibu waliopata.
 
hahahaha @vuta ni kuvute una hangaika bure..sahau kupata ubunge bora uendelee na kazi yako!
 
hahaaaa nsimbaati kungine walipata sifuri?????
saf sana mi nilikua mtwara bwana nilichokiona maeneo ambayo wameshinda CCM ni kule ambako vikongwe wamejaa na wenye CCM yao mfano naliendele,ligula mbelenje na ligula pentecoste na ukiangalia wengi huku sio wazawa
mikindani cuf tupu,kianga A na B CDM
LIKONDE kelu cuf,cdm na nccr inshort km ungekuepo mtwara ungefurahi na roho yako
mh.murji alitoa magari 8 watu wakaangalie nani mtani jembe jmosi
huwezi amini vjana waligoma wakaanza kurushiana meseji za kukataa ofa ile maana walijua ni mbinu chafu isiyo na lengo zuri walijua wangechelewa uchaguzi mi kwa kweli nawashukuru sana wana mtwara na bado wanasema wanataka kuhakikisha katiba haipiti ng'oo

Inanikumbusha jambo moja! Kuna kampuni moja ilikuwa inamabasi yale ya kizaman yakienda Mtwara Mjini na kule Masasi. Baada ya barabara kuwa nzuri( ukiachilia pale Somanga), akanunua mabasi mapya mawili matatu. Yote yakawa yanaenda Masasi na Mtwara akayaacha yale yale ya zamani!

Wale wakazi wa Mtwara mjini wakakubaliana kamwe kutopanda tena. Na iko hivyo hadi leo. Wameyasusia hadi leo!
Nachotaka kusema hapa ni kwamba wale jamaa ni watu wavumilivu na watulivu. Ila wakishaambiana huwa na msimamo wao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom