Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Tunaomba daftari la uandikishaji liletWE mApema sana.
l
Ninaliwazia daftari jipys la wapiga kura.Kama siku nne za kubana na mizengwe majibu ndiyo haya, miezi mitatu na ushee sijui kama tutatoka.
Tunaomba daftari la uandikishaji liletWE mApema sana.
l
Tulipiga kelele sana kwamba mnayowafanyia watanzania sio sahihi.Tukatoa mfano kwamba mpira unavutika,lakini ukiuvuta sana mwishowe unakakatika hamkusikiliza.Watanzania wamefika mwisho,kamba imekatika.Mmewatesa Watanzania sana.you have to wait for your fate.Wengi wenu mnapaswa kuishia lupango.It's too late kuomba msamaha.
Ninaliwazia daftari jipys la wapiga kura.Kama siku nne za kubana na mizengwe majibu ndiyo haya, miezi mitatu na ushee sijui kama tutatoka.
Haydom, Getarer, Ngwandakw, maghang, harar, wote ni CDM
Hali ni tete huko Lindi na Mtwara kwa CCM. Matokeo yanayotufikia hapa Ofisi Ndogo za Chama,Lumumba si vutizi. UKAWA wametupoka sehemu nyingi huko.CUF imetamalaki. CUF imetetea mitaa yake na kupoka mingine toka CCM.Wana-Lindi na Mtwara hatimaye wamelipa kisasi na kuonesha kinyongo chao juu ya sakata la gesi asilia.
Kipigo cha gesi kimejibiwa na kipigo cha kura. Sijui mwakani itakuwaje. Wana-Lindi na Mtwara tusameheni jamani.Tuliteleza.Hatutarudia tena.Safari hii mkiliona jeshi huko basi liko Kambini au limekuja kujenga madaraja na miundombinu mingine.
Kujikwaa si kuanguka.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ninaliwazia daftari jipys la wapiga kura.Kama siku nne za kubana na mizengwe majibu ndiyo haya, miezi mitatu na ushee sijui kama tutatoka.
Msimbati ndiko wamefunga KAZI MOJA KWA MOJA
WAMEPIGA CHINI CCM MAZIMA,,
SHENZY TYPE PANAPO UHAI TUTAKUTANA MWAKANI
ETI WANAKUJA NA GIA YA KUJIFANYA WANAMALIZIA BARA BARA YA NANGURUKURU HAISAIDII HIYO.
LETENI WANAJESHI WAPIGE KURA SASA
LAZIMA TUWAFUNZE ADABU SAFARI HII
Weka hapa matokeo ya Mtwara na Lindi acha kuwadanganya witu! hata kama kuna sehemu wameshinda basi tofauti ni mitaa isiyopungua mitatu!
Masasi na wilaya nyingine za Mtwara CCM wameshinda kwa kishindo sana tena Lindi ndio usiseme!
Wapinzani walipo onesha upinzani kidogo ni Mtwara mjini na ni CUF na kwenyewe ni tofauti ya mitaa kama 3 au minne! Na kwa matokeo haya hayawezi kuwapatia kiti cha ubunge kabisa!
mkuu tunajua unamahaba sana na ccm. ushauri wangu kama mtanzania mwenzako, hebu tuungane kuuondoa huu ujinga wa kubeba fedha zetu kwenye magunia wakati watanzania wenzetu hawana hata panadol mahosipitali wala maji majumbani.
sio kweli kuwa ccm wote ni wabaya wapo wazuri wengi tu lakini kwa mfumo uliopo hawawezi kupambana na uchafu unaofanywa na baadhi yao.
wewe mwenyewe utakuwa ni shahidi jinsi gani kodi zetu zinazoenda kwenye mahalmashauri lakini zinaishia kutafunwa na wenye meno kwenye vikao vya watendaji na hata wakijulikana wanahamishwa tu badala ya kuchukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu.
kwa nia nzuri kabisa nakushauri hebu tuungane mkuu kuliokoa taifa hili kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo.
Maneno mengi bila ya data hayasaidii
vuta nikuvute ukisema lindi na mtwara wamelipiza kisasi utasemaje dodoma ambako tumezoa kura na arusha tumewapoka Chadema baadhi ya viti na manyara na kwingineko kwiingi ambako tumeshinda kwa kishindo??? wale wana mtwara ni cuf asilia ndio maana chadema hawatii pua pale na nikuhakikishie tu kuwa mwakani utashika mdomo kwa sapraizi ya mwak kwani hawahawa unaodai wamelipiza kisasi ndio hawahawa watakaowageuka na kutupigia sisi kura