johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,033
Umetimiza vigezo au ni shukurani kwa mwendazake kwa kuachia uraisi bila ubishi.......Hakuna cha maana sana sana Chato Mkoa mpya.
Jambo linatoka kwenye BRAIN, nadhani unanielewa. Jambo lilitoka juzi kutoka kwenye kamati ya Nobel Prize, yenye BRAIN, jambo toka kwenye brain! BRAIN iko wapi ya kutoa jambo?Bwana Yesu asifiwe wapendwa.
Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.
Tega sikio hapa hapa bwashee.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Jitu linaaamka asubuhi na ujinga kweye media za watu. Vitafutwa vyote , siku haiko mbaliHakuna cha maana sana sana Chato Mkoa mpya.
na Yesu asifiwe wapendwa.
Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.
Tega sikio hapa hapa bwashee.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Bwashee yaonekana mbege ya jana ilikuwa ya kibukoba!Jitu linaaamka asubuhi na ujinga kweye media za watu. Vitafutwa vyote , siku haiko mbali
Mvumilivu hula mbivu!Mmetupa Wakati Mgumu Sana Yaani Tumetega Masikio Mpaka Yanauma, Tangazeni/Semeni Lolote Tu
Ivumayo Haidumu,
Msitutishe!!!
Ama Ndiyo Mtasema Dulla Kapigwa Jana Kwa Point Wakati Wote Tumeona Live. Tupumzisheni Kidogo
Tupate Japo Kumeza Mate Kidogo
Ama Mzigo Mpya Wa Johnson And Johnson Mpango Wa Covax Tunaongezwa Dose. Ama Issue Ya Sensa
Lete ManenoMvumilivu hula mbivu!
Whatever, leta brain siyo vitu vya hovyo hovyoBwashee yaonekana mbege ya jana ilikuwa ya kibukoba!
Lete Maneno
By JK
Hakuna mkoa mpya mpaka sensa ya watu na makazi ifanyike 2022.Hakuna cha maana sana sana Chato Mkoa mpya.
Anataka kutangaza kuwa Chanjo ni lazima.Kwa kuwa ameona kuna pesa huko kwenye chanjo.Hakuna cha maana sana sana Chato Mkoa mpya.
Tuna imani na Samia, hali mradi yule shetani yupo kuzimu, tumpe ushirikiano mama.Bwana Yesu asifiwe wapendwa.
Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.
Tega sikio hapa hapa bwashee.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Sukuma gang masalia, mmeachwa wajane na yatima.Anataka kutangaza kuwa Chanjo ni lazima.Kwa kuwa ameona kuna pesa huko kwenye chanjo.