Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

Hakuna mkoa mpya mpaka sensa ya watu na makazi ifanyike 2022.

Kwahiyo swala la Chato sahau, by the way Chato haina sifa hata ya kuwa Manispaa.
Chato inasifa za kuwa mkoa na utambue kuna baadhi ya wilaya za kigoma na kagera zitaingia humo kwan wilaya husika zitakazo hama itakuwa faida kwa mwananchi katika kurahisisha na kuwasogezea huduma wao ni sehemu ya taifa pia wewe wa kusini pambania kusuni yako tuache wivu
 
Tuna imani na Samia, hali mradi yule shetani yupo kuzimu, tumpe ushirikiano mama.

Dosari yake kwangu ni kuingizwa mkenge kesi ya Mbowe tu, lakini muda anao wa kurekebisha na DPP kamteuwa yeye.
Binadamu yeyote anaweza kuingizwa mkenge, sasa yeye tayari ameshajua aliingizwa mkenge. Kwa nini anasita kufanya uamuzi haraka? Mamlaka anayo ya kufanya hivyo. Wote wanaoendesha hiyo kesi ni wateule wake.
 
Watu kwa sasa tuna mambo mengi ya kufanya ili kujitafutia mkate wetu wa kila siku.

Hayo mambo ya kushinda kwenye tv kisa kumtazama mwana siasa hatuna.
Yeah!

Mkae kwa kutulia tujenge nchi.

Zile kelele zenu za katiba mpya zimefikia mwisho.
 
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!za
Fao la Kujitoa NSSF
Uhuru wa Vyama vingi
Free Mbowe
zaidi ya hapo.........
 
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hiyo salamu umeikosea, siyo sehemu yake!
Huyo Rais wako hata kuitamka hataki!
Hata salamu ya dini yake hataki!
Labda kuna vutu anaviabudu
 
Mitaa gani acha uongo na wewe unaishi mitaa yote ya tanzania?!

Embu Fanya utafiti hapo mtaani kwako.
Maza hana mvuto watu wanamchukia sana mitaani huku tanganyika.
Jana tulikuwa sehemu tukawa tunadiscus hii ishu
Wananchi wanamchukia Sana huyu maza nahisi ni haya mambo ya tozo , na pia kauli zake za kibaguzi kijinsia , na kuonekana amekaa kizanzibari zaidi,
 
Mitaa yetu anakubalika sana wasukuma wakuhesabu.
 
Unawaambia wanachama?
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Back
Top Bottom