Nitake radhi khaa!!............na nimesharipoti kwa mods
Nilikuwa nawaza maisha yalivyo magumu.....ghafla nacheck kwenye screen nakutana na like ya The queen of JF Moderators Roulette kwenye post yangu..........ghafla nikahisi kijoto fulani kinapita ndani ya vein za moyo wangu. Faraja na mahanjam yakauengaenga moyo na ubongo bila tashtiti.
Matatizo hayajaisha ila angalau kwa dakika kama 20 nilikuwa na raaha.
Mashalaaah Roulette
platozoom
x- hubby upo?? Hawajambo jirani zangu kina mama furaha?? Wasalimie, waambie niolewa upya huku kwenye ukaguzi, lolest!thats why i like you madam roulette because you always tell the truth and what you really feel bila ya kuogopa mtu yeyote. Apart from that you are intelligent lady who always makes wise decisions. Am so proud of my lovely sister roulette. Keep it up.
x- hubby upo?? Hawajambo jirani zangu kina mama furaha?? Wasalimie, waambie niolewa upya huku kwenye ukaguzi, lolest!
Heheheee Roulette umesahau raha jipe mwenyewe?Asprini, shem wako yupo tu. Amepotezwa na shughuli mbali mbali ila anapatikana ikiwa kuna emergency. Sasa nisaidie kitu kimoja: waambie hawa watoto ( platozoom, Erickb52, Young_Master) watulie. wasome kwanza, wamalize masomo. hicho wanacho kifanya na sabuni, huku wakikodolea avatar mimacho, wataishia kuharibu screen za laptop tu (dixit Faiza Foxy). Hiyo avatar nimeiondoa maksudi, ila nimeiacha kwenye album yangu on my JF page.
Wewe mwenyewe mzima lakini?
Hapo in red ulikua na maana gani? Sisi ni watu wazima, tunaelewa hii lugha:bathbaby:. Mamndenyi, upo?
Ulikua wapi mpenzi? watoto wameanza mutiny, nakutafuta ukawashaurie sikuoni....Mmmmh......watu mna mambo!!
Then you better term it as "FORTUNATELY" as opposed to unfortunately.Hahahahaaa habari ya siku nyingi mkuu PakaJimmy, unfortunately you didnt pass by you stopped and you are still peeping!