Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
Mkuu inaonekana we mwepesi sana kuhonga kabla haujamega
Kwa namna bandiko lako linaonyesha dili hilo ilikua ni kuzagamuana tu

Speaking of dhuluma na magumashi matapeli wote na madhulmati wote wa deal za kihuni kwa 90% ni wanaume..... sasa wewe kuliwa hela zako na demu ndio unakuja kuwaona hawafai kufanya nao deal?

Kwa michongo ya hela iliyonyooka wanawake wako vizuri zaidi kuliko wanaume(hakikisha tu unaweka mbali maswala ya mapenzi mkiwa kwenye michongo)

Wanawake ni waoga sana kudhulumu mtu kwenye deal lakini ni wepesi sana kula hela ya mwanaume kimchongo linapokuja swala la mwanaume kutaka kumvua chupí
 
Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
Ndiyo upate somo.Mwanamke hata muokote naye hela atang'ang'ania Kwamba ni zake na ana bajeti nazo tayari.Damn it!
 
Yupo mmoja pia from rombo yeye na Mimi ni soulmate na ana buzz zake huwa tunapeana mkwamja na anarudishagaa.

Mkopeshe mndengerekoo, mzaramo , mmakondeee wa kike 😁😀 bagoshaa
Wasukuma wana msemo wao UKUIPANDIKA😂😂😁
Kikubwa peaneni respect na mipaka mtaishi, ukileta chombeza za mapenzi utaumia ,

Mwanamke usimwonyeshe hisia kwenye serious issues hapo atachukulia advantage na anayeumia ni me, mapenzi yaje after success on progressing chunga zipi mazee
 
Pole kwa kuchelewa kulijua hao watu. m'ke akikukubalia kumtia leo nenda kamtie haraka ukirudi kesho kashabadili mawazo utazan sio yule ulieongea nae jana tu. wako ivo. hamna mpango wa muda mrefu.
😂😂😂😂
 
Mi Hata siku Moja Sina Imani na mwanamke na jambo langu kwa mwanamke ni Jambo nisilolipa tumaini maana mwanamke ni Kiumbe kama Nyoka, au Shetani akitabiriki na hakuna maagano ya kudumu na mwanamke
Lowasa's family is reading this comment
 
Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
NRNE
 
Back
Top Bottom