Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
Wanawake wanawezana wao kwa wao wadhurumiana hata mia lazima pachimbike
 
Nmetokea kufanya biashara na mdada mmoja tulipiga pesa za kutosha rkn mwishoni imefiako laki tatu.

Nmeona bandiko lako mkuu nmejifunza kitu ukweli kabisa
 
Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
Wenzetu mna mioyo laini Sana .

Hivi mnaanzaje anzaje kufanya madeal na wanawake WA kibongo?😸😸😸😸
 
Back
Top Bottom