Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

Pole kwa kuchelewa kulijua hao watu. m'ke akikukubalia kumtia leo nenda kamtie haraka ukirudi kesho kashabadili mawazo utazan sio yule ulieongea nae jana tu. wako ivo. hamna mpango wa muda mrefu.
Sahihi kabisa, nilipoteza milioni kadhaa kutoka kwa mwanamke kwa kusubiri ziwe nyingi. Nilimseti ikawa deal imekubali ila akasema anipege nusu kwanza mi nikambwela asee kuja kustuka kashagaili kmmk niliumaindi kinoma..
Hawa watu ni ukiwaseti ukiwin hata usiku wa manane kakamilishe mchongo ukisubiri pakuche tuu ushafeli..
 
Kuna demu tulikutana kwenye harakati zetu... Akawa anachukua Mali kwangu anapush, Kila baada ya siku mbili sim zinaita anachukua mzigo cash kabisa nilikutana nae mwezi wa tatu mwaka huu sasa bhn huu ni mwezi wa saba ameshapigwa mimba na wahuni na biashara imeishia hapo na mteja nimekosa hivyo. Dah inaniuma sana kwa mwezi alikuwa na uwezo kuniachia faida ya zaidi ya 800k ss ndio ameshapotea kwenye game tayari
 
Mi Hata siku Moja Sina Imani na mwanamke na jambo langu kwa mwanamke ni Jambo nisilolipa tumaini maana mwanamke ni Kiumbe kama Nyoka, au Shetani akitabiriki na hakuna maagano ya kudumu na mwanamke
Hata kwenye biashara, mwanamke usimzingatie sana kama mteja wa kudumu, baadhi yao walio wengi hawako seriously na wanachokifanya. Utamzingatia utaanza kumuamini kwenye mizigo atakupga tukio baya sana
 
Hata kwenye biashara, mwanamke usimzingatie sana kama mteja wa kudumu, baadhi yao walio wengi hawako seriously na wanachokifanya. Utamzingatia utaanza kumuamini kwenye mizigo atakupga tukio baya sana
Ktk Maisha Yako mwanamke mchukulie kama Nyoka, maana ni Kiumbe kisichoeleweka, Nyoka ajulikani Kam anakiuno au lahaa hivi ushawai ona kiuno Cha Nyoka.
 
Kama deal fanya deal pita iv usilete mapenzi ukichanganya mapenzi umeisha
 
Kuna dada mmoja alikuwa classmates wangu, alikuwa ananiazima mpunga anarudisha,

Mwanzoni nilimtilia shaka Ila akarudisha,

Kwahiyo ikiwa ana shida atanichek nampa hata akichelewa me simkumbushi, utashangaa muamala unatiki,

Yule bibiye alikuwa mwaminifu juu ya hilo,

Ila wanawake wengi ukimuonyesha kumwogopa kumtaka kingono umekwisha

Nb mwanamke sio mtu wa kufanya naye Siri,

cc Dr am 4 real PhD
Huyo mdada ulifanikiwa kujua kabila lake..!?

Ukijibu ntatia NENO KAKA 😊
 
Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
Sio mwanamke TU usifanye deal na kiumbe chochote chenye tamaa.

Binadamu wote tumeumbwa na tamaa Ila wengine tunaweza kudhidhibitii.

Ukipata deal gawana na mlie fanya nae hilo deal sijui NIMETUMA KWA MAMA, NIMELIPA KODII, NAUGUZAA, SIJAPATA MGAO, N.K achana na visingizio TOA GAWIWO @ ASAP
 
Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
Ukifanya nae Labda wewe ndie uwe steering!
 
Kwema wakuu?

Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera.

Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
Kutapeli au kudhulum ni tabia mbaya tu inaweza fanywa na yeyote regardless na gender yake.kwan mpaka umri uliofikia hujawahi ona wanaume wanatapeli au kudhulum watu?
 
Back
Top Bottom