Life begins at 40 Vs Midlife crisis

Life begins at 40 Vs Midlife crisis

Bora utupe moyo
Maana Mambo ni magumu Kwa walamba nyasi
Usibabaishwe na vimaneno vya mitandaoni, nioneshe tajiri mmoja tu unayemjuwa Wewe Bongo ambaye hajarithi utajili ni self made millionaire ambaye yuko under 50. ( Usiwajumuishe Wakinga.)

Bongo unapiga mark time mpaka over 50 ndio life linakupa direction kama utazeeka vizuri au ukawe mkimbizi tu ulaya.
 
Hizi ni nadharia tu.
Ahahaha..Hapana mkuu.
Am 34 now. I gat 4 kidz already. Nimepata mtoto wa kwanza nikiwa 1st year at 21yrs- 2011. Nimeoa at 25 yrs.
Nimezaa mtoto wa pil in 2016, mtoto wa 3 mwaka 2018 wa mwisho 2022😂
So kwa sasa ni kwamba
1st born ana 12 kamaliza la 7
2nd born ana 7 yrs
3rd yuko na 5yrs
Last yuko na 10 months

So at Mungu akijalia nikafika 45 yrs maana yake hiyo ni 11 yrs from today.

Add 11 yrs kwa kila dogo hapo utaona what happens
😁😁
 
Nakubaliana na wewe..
Imagine mtu unamaliza shule at 25year.Hapo umeenda straight bila kona na kama uliingia shule mapema.

Haiwezekan at 40 uwe umeji establish vya kutosha..

NB
japo wapo, ila sio wengi sana aisee..maana kkna watu wana bahat zao dunian hapa
 
Umeenda vizuri sana mkuu, ukipungua nguvu madogo nao wamefika mbali sana. Naona unaweza kuiishi hii kanuni.
 
Dr Matola, hivi vimaneno vina impact sana, either vikujenge au kukubomoa. Hapa tunawakumbusha 20s wakae mkao wa kula, late 30s wasihofu, 40s wajue bado chance ipo na 50+ waishi kwa amani.
 
Hakuna kitu inavuruga kama kukimbilia kupata watoto haraka haraka. Mimi na 26yrs watoto 2 mama tofauti wananipeleka puta hadi sometimes najuta. Mpaka kufika hiyo 40 nitakuwa nishachoka

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Kupata Watoto mapema kuna faida nyingi kuliko hasara.

Tatizo ni mfumo mbovu tu wa maisha ya Bongo.

Wakati wa Nyerere tulisoma bure kwenye shule za umma pamoja na Watoto wa mawaziri.

Karibu kila mzazi mwenyewe Watoto wachache walikuwa ni Watoto wa tano na tulilelewa vizuri tu.

Wanawake waliujuwa wajibu wao mkuu ni kuwa wasaidizi wa waume zao na kuongeza generation kwa kuzaa.

Hiki kizazi cha ngoja hata kubeba mimba kinaona kazi na akibeba mimba anataka azae kwa oparesheni na tuendako watataka mbegu zikarutubishwe maabara wasibebe mimba kwa sababu tumeshakosea tayari mpango wa Mungu.

Kwahiyo tatizo kubwa siyo umri Bali ni mfumo wa maisha.

Mtu kama Kassim Majaliwa uchaguzi ujao anatakiwa asigombee ubunge ale mafao ya uwaziri mkuu lakini mtashangaa anagombea tena ubunge wakati ana uhakika wa maisha hadi anakufa.

Watu hawana kiasi, ukiamuwa kuwa tajiri ndani ya nafsi yako utaenjoy maisha kuliko hawa unadhani wana kila kitu lakini hawana amani wala furaha na wana pesa kibao.
 
Kwamba mtu akiwa 40+ awe tayari amewekeza na pesa zinamfuata tu mkuu? Sasa mbona wengi wetu ndio tunaanza kujitafuta, tulichelewa either kusoma, kupata watoto, kuwekeza...

Do we still have another chance?
Uzushi huo,tafuta ratio ya walioko kwenye 30+ age kama wamefanikiwa Kwa lolote,ni wachache sana badala yake kuanzia huko kwenye 40s ndio watu wengi wanaanza kufanikiwa na asikudanganye mtu miaka 50 Wala sio Mingi Wala sio Mzee unless unaumwa.

Ishu kubwa ni kutunza Afya ,kibongo bongo mafanikio uliwahi sana ni 35-50 hapo chini ya hapo ni uongo.
 
Nakubaliana na wewe..
Imagine mtu unamaliza shule at 25year.Hapo umeenda straight bila kona na kama uliingia shule mapema.

Haiwezekan at 40 uwe umeji establish vya kutosha..

NB
japo wapo, ila sio wengi sana aisee..maana kkna watu wana bahat zao dunian hapa
Tatizo la Watanzania pesa za wizi wanataka kuziingiza kwenye mfumo rasmi wakati wanajuwa wazi hizo ni fedha haram.

Eti kijana ana miaka under 40 ana appartment za kupangisha, ana nyumba ya kuishi chanzo cha ukwasi wake wala hawezi kukielezea, kama ni kweli ni working hard mbona hawafungui viwanda?
 
Asiwadanganye mtu wanangu
Maisha yanakuja jinsi yalivyo na hakuna wa kujua kesho
Hiyo 40 kama utafika ni uwezo wake Mola kwa wanaoamini hili
Wengi mna bahati kwa sasa kupata nasaha na kushauriwa humu, wengine wamekula maisha bila kujua
Wengine pia hata umshauri vipi bado atakula Bata bila kuwaza kuwekeza
Mimi sikuwa mtu wa starehe bali ni mtu wa kusafiri sana na kuiona Dunia, yaani ndio hobby yangu ila sasa nimepunguza kiasi ingawa bado nasafiri

Vijana kuweka akiba ni muhimu sana na 40 isiwatishe kwani nina over 60 na bado napiga kazi sana
Nani kawaambia ukifika 46 umezeeka sio kweli
Pigeni kazi sana mkiwa vijana uli msiwe watu wa kuomba omba baadae
Hata tukiangalia watu huko mtaani wenye pesa wengi wako kuanzia 40 Hadi 65 na Bado wanafanya kazi saafi kabisa.Jambo la msingi ni Afya.

Ingekuwa umri mkubwa ni tatizo basi viongozi wengi wangekuwa ni Vijana badala yake hao Vijana Wana njaa na hawajielewi
 
Tatizo la Watanzania pesa za wizi wanataka kuziingiza kwenye mfumo rasmi wakati wanajuwa wazi hizo ni fedha haram.

Eti kijana ana miaka under 40 ana appartment za kupangisha, ana nyumba ya kuishi chanzo cha ukwasi wake wala hawezi kukielezea, kama ni kweli ni working hard mbona hawafungui viwanda?
KWel .japo kwa ishu ya makazi ya kuishi, hii ni kawaida kumilik kwa kijana under 40 kama tayar yuko kwenye mfumo wa ajira au kaz rasmi. Hapa anaweza kuwa na nyumba tena kali tu bila shida kama atakua mtu mwenye nidhamu ya matumiz ya pesa.

Ila kwa wapambanaji japo wanaweza pia ila inategemeana sana na uwanja wa mapambano yako.
 
50 Bado sana,labda umri wa kuanzia 55 plus naweza sema uzee unaanza maana Kuna Baadhi ya performance zinaanza kupungua na mvi pia zinaanza kuonekana ila sio chini ya 55
Performance ipi mnayoongelea?
 
Umeenda vizuri sana mkuu, ukipungua nguvu madogo nao wamefika mbali sana. Naona unaweza kuiishi hii kanuni.
MKuu mimi nilishajisemeaga mapemaa toka namaliza form 6 kuwa haijalishi nitapata maisha au nitachelewa ila nikifika 34 yrs nataka niwe nimeshamaliza kuzaa.
Kwakifupi nilitembea na kaul zile za kikoloni za wazee wetu kwamba kila mtoto maadam kazaliwa, sitashindwa kumtunza katika basic needs ..sasa plus hustle unajikuta tu mambo yanasogea.
 
Tatizo la Watanzania pesa za wizi wanataka kuziingiza kwenye mfumo rasmi wakati wanajuwa wazi hizo ni fedha haram.

Eti kijana ana miaka under 40 ana appartment za kupangisha, ana nyumba ya kuishi chanzo cha ukwasi wake wala hawezi kukielezea, kama ni kweli ni working hard mbona hawafungui viwanda?
Kwa hiyo unataka under 40 awe anamiliki nini mkuu?
 
Kwa hiyo unataka under 40 awe anamiliki nini mkuu?
Mimi nimeishi kwenye mifumo mingi duniani, kama hujatembea huwezi kunielewa hata siku moja.

Mifumo ya wenzetu kila mwenye uwezo wa kufanyakazi atafanyakazi na atatimiza majukumu yake yote ya kujikimu.

Kuna watu wa class zote, lakini wizi wa Mali za umma au ubinafsi uliopitiliza hakuna hivyo vitu.

Mbongo anaishi yeye na ana hofu na kesho ya watoto wake wakati mifumo ndio inatakiwa kuamuwa hatima za watu.

Bongo kijana analipwa 1.5 take home, ndani ya five years kajenga ghorofa, ana magari, ada ya watoto wake Feza schools wala haifanani na kipato chake halisi, huu ni wizi mtupu, kwa wenzetu hakuna mifumo ya maisha ya hivi.

Angalia mfumo wa maisha ya Wahindi wengi ni raia halali wa Tanzania umeshawahi kuwaona kuhangaika na ujenzi wa nyumba kwa ajili ya future za familia zao? Wana mifumo yao, kama ya kimagharibi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom