Life begins at 40 Vs Midlife crisis

Life begins at 40 Vs Midlife crisis

Kwamba mtu akiwa 40+ awe tayari amewekeza na pesa zinamfuata tu mkuu? Sasa mbona wengi wetu ndio tunaanza kujitafuta, tulichelewa either kusoma, kupata watoto, kuwekeza...

Do we still have another chance?
Sure you do...
 
Asiwadanganye mtu wanangu
Maisha yanakuja jinsi yalivyo na hakuna wa kujua kesho
Hiyo 40 kama utafika ni uwezo wake Mola kwa wanaoamini hili
Wengi mna bahati kwa sasa kupata nasaha na kushauriwa humu, wengine wamekula maisha bila kujua
Wengine pia hata umshauri vipi bado atakula Bata bila kuwaza kuwekeza
Mimi sikuwa mtu wa starehe bali ni mtu wa kusafiri sana na kuiona Dunia, yaani ndio hobby yangu ila sasa nimepunguza kiasi ingawa bado nasafiri

Vijana kuweka akiba ni muhimu sana na 40 isiwatishe kwani nina over 60 na bado napiga kazi sana
Nani kawaambia ukifika 46 umezeeka sio kweli
Pigeni kazi sana mkiwa vijana uli msiwe watu wa kuomba omba baadae
Umeni inspire na kunifanya nijione tofaut kidogo.34 hii inanivurugaaaaa
 
Binafsi sikuwah kufikiri kama umri ungekuja kuwa kitu serious cha kunichanganya moaka pale nilipo realize my life purpose.Yan toka nimekuja kujua ni wapi ninatakiwa kutulia na kuwekeza akili na nguvu zangu hapo, basi huwa naona kama muda unakimbia balaa mpaka kichwa kinauma.
Imefika hatua ya kutamani hata siku 1 ingekua angalau na masaa 30.

Huwa kuna time najilaumu kwamba akil hii nilionayo sasa kwanin sikua nayo nikiwa at around 26 years??

Anyway, cha msingi wakuu tupambane.
Now you understand my point!!
 
Kila msemo duniani una tabia za kibaguzi kwa watu ipendayo.Tusing'ang'anie misemo isiyoendana na uhalisia tulionao.Mmiliki wa KFC afufuke atupe miongozo.
Na tunaishi humo humo mkuu, kuna wakati unaweza kusema ni za kibaguzi ila kuna wakati usipokuwa makini unaona kabisa kuna msemo ulitungwa kwa ajili yako, every word reflects your goings.
 
Furahia kila siku Mungu anapokupa zawadi ya uhai.

Future na kesho yako iko mikononi mwa Mungu.

Kuna watu wana kila kitu leo jumapili familia zinakwenda kuwatembelea magerezani.

Ukiishi kama mpagani ndio utababaishwa na swala la umri.

Kwanza Bongo kwa kipato halali bila kufika miaka 50 plus hutoboi ng'oo utapata pesa ya kula tu na kuhifadhi matofali yasiibiwe.
Bora utupe moyo
Maana Mambo ni magumu Kwa walamba nyasi
 
Je,ungejiua halafu ukagoma kufa,ungefanyaje?
yaan nijiue af nagomaje tena kufa wakat nshakufa tayar, kuna aina mbili za kujiua, kuna kujiua kishingoupande.. Na hapa unakuta mtu anaenda kujinyonga ana kamba afu kabeba na kisu... Au kakoroga sumu af pembeni glass ya maziwa.,huyo sio mjiuaji... Mtu ukitaka kufa nenda zako dukan kwa poti mwambie nataka sumu ya panya then toa shilingi elfu 10 na uschukue chenchi maana unaenda kufa tena usikumbuke kuhusu chench kbsa... Chukua glass koroga zako sumu then kunywa alafu jitupe baharini ikiwezekana nenda kwa boti afu jitose... Naam hicho ndio kifo cha kudhamilia
 
Maneno "life begins at 40" yana maana kuwa mtu akifika umri wa miaka 40, maisha yanakuwa bora zaidi, labda kwa sababu tayari mtu keshapata skills, experiences na namna bora ya kuyafurahia maisha. Msemo huu ulitungwa na mwanafalsafa Pitkins na umejipatia umaarufu mkubwa hapa duniani.
kwa karne hii, life begins at 50 na siyo 40 tena.

Ukifika 50 watoto huwa wameshaondoka nyumbani aidha wako University au wengine wameanza kazi tayari. Kwa hivyo kipato unachopata ni kwa ajili yako na spouse wako.

Huna tena stress za kulipa mikopo ya chuo, umetransfer majukumu kwa mtoto. Unaanza kupanga vacations kwa wingi. Pia kama umejitahidi kufanya kazi aidha utakuwa umepata promotion au kwa kazi binafsi utakuwa tayari uko stable.

Na hapo ndipo midlife crisis inapoanza.

At 40 you are still struggling to support your children because they will be in secondary school or starting college.

Kumbuka miaka hii mwanamme huwa anaoa akifika angalau miaka 25 kwa hivyo akifika 40 atakuwa na kijana teenager (very troublesome age!). Unadhani atakuwa na muda wa kuenjoy life kweli at that age?
 
kwa karne hii, life begins at 50 na siyo 40 tena.

Ukifika 50 watoto huwa wameshaondoka nyumbani aidha wako University au wengine wameanza kazi tayari. Kwa hivyo kipato unachopata ni kwa ajili yako na spouse wako.

Huna tena stress za kulipa mikopo ya chuo, umetransfer majukumu kwa mtoto. Unaanza kupanga vacations kwa wingi. Pia kama umejitahidi kufanya kazi aidha utakuwa umepata promotion au kwa kazi binafsi utakuwa tayari uko stable.

Na hapo ndipo midlife crisis inapoanza.

At 40 you are still struggling to support your children because they will be in secondary school or starting college.

Kumbuka miaka hii mwanamme huwa anaoa akifika angalau miaka 25 kwa hivyo akifika 40 atakuwa na kijana teenager (very troublesome age!). Unadhani atakuwa na muda wa kuenjoy life kweli at that age?
Vipi kwa wale waliochelewa kuwa na familia, first born at 35, last born at 45!
 
Ni kweli Maisha yanaanza 40, umri huo unategemewa uwe umejiandaa na uzee, umeshawekeza, unamalizia malizia vitu vidogo vidogo ili ukifika 50 upumzike ule mafao, uenjoy maisha yaliyobaki, ujiandae na magonjwa na jinsi ya kupambana nayo,

Ukifika 40, bado huna ramani lazima hofu ikuingie, uwe depressed na wengi huanza kukata tamaa kwa kujihisi ndio basi, kumbe 40 inakupa last chance ya kupambania kujiandalia 50 yako,

Wito wangu kwa vijana tupige kazi bila kuchoka, fainali uzeeni.
Aliyekudanganya duniani kuna kupumzika ni nani? Jk kapumzika? Finali ya uzee ya Kinana au Wasia unaijua?
Duniani ni kupambana hadi unakufa
 
Binafsi kama ningeambiwa leo hii muda urudishwe nirudi huko kwenye 40s kitu pekee ambacho ningekirekebisha ni kuutunza mwili na kujali afya yangu sana. Nisingekunywa mipombe kupindukia na minyama choma hii. Japo ukiwa kijana huwezi kuona madhara yake, ukivuka 45 huku ndiyo sasa utaona kosa ulilofanya - na hapo kama una bahati hujapata presha, kisukari, matatizo ya figo, magonjwa ya moyo na ishu zingine kibao
😆😆😆
 
Kuwa makini sana unapotumia misemo ya watu kulinganisha na maisha yako wewe.

Wakati huyo bwana anaongea hayo maneno miaka hiyo hakukuwa na internet, hakukuwa na mafumo wa maisha kama wa sasa so its safe to say kuwa anaweza kuwa alikuwa sahihi ama hakuwa sahihi.

Life begins at 40 inaweza kuwa kauli ya faraja au ya kutisha.

Imagine mtu ambaye ameajiriwa na anaishi kwa kutegemea mshahara. Huu msemo unamaanisha kuwa katika umri huo kama hajajipanga kimaisha kwa maama ya kuwa na vyanzo vya mapato nje ya mshahara then ndani ya muda si mrefu anarisk kuingia matatizoni especially akifika umri wa miaka 50+ kuelekea 60.

But imagine mwanaume ambaye ametumia muda wake tokea miaka 18 hadi miaka 35 akipambana hili na lile akijifunza codes za mtaa, mbinu za nje ya mfumo wa mshahara, na ana weza kusurvive bila kuajiriwa. Huyu huo msemo hauna maana yoyote kwake zaidi ya kumwambia azidi kupambana na kitaa akitafuta maokoto.

Kwa mwanamke, miaka 40 ndio maisha huanzia hapo. Anatakiwa awe katika ndoa, familia yake, mume wake, mali zake na mumewe, uhakika wa kipato chake aidha biashara au ajira awe katika level ya kuwa mke wa fulani, mama wa familia fulani. Kinyume chake huu msemo utamuua kwa stress maana umri huo akifika na hayo hayajatimia then ni mwendo wa panic za mfululizo na kuwa nusu mtu nusu kichaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom