Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,142
- 9,561
ulikua na akili gani
ulikua na akili gani
Ukifa ndio imeisha hiyo mkuu, kuzimu na mbinguni ni hapahapa duniani, kama unaishi kwa kutegemea kuna better life baada ya hapa duniani, basi hauishi utakua unasubiria kufahapana... Unajua hatujui kuzimu kupoje... Sasa unapokufa unaacha madeni badala ya mali... Unaenda kutana na kitu usichokitegemea
Ni wakati wa kujiweka sawa, ili depression zisikupate.pole sana ERoni
mimi nadhani niko kwenye 'quarter life crisis' ndo namalizia teens zangu mseleleko wa kuhudumiwa na wazazi ndo unaisha, shule ndo namalizia, nawaza maisha yatakuwaje kujitegemea ndo kunaanza na I'm starting from almost zero...
maamuzi magumu haya,I think hii inawahusu walio na ndoto za kuoa na kua na watoto watatu, Mimi binafsi sina plan ya kuwa na mke, mtoto mmoja tu ananitosha
Obvious haifanyi kaziNa swali langu lililenga hapo, kwamba hiyo life begins at 40 kwa Afrika na Tanzania inafanya kazi?
Vuta subra mkuu huenda mtizamo utabadilikanasubir nikue kue kwanz labda akili itakomaa nabadili mtazamo
Furahia kila siku Mungu anapokupa zawadi ya uhai.
Future na kesho yako iko mikononi mwa Mungu.
Kuna watu wana kila kitu leo jumapili familia zinakwenda kuwatembelea magerezani.
Ukiishi kama mpagani ndio utababaishwa na swala la umri.
Kwanza Bongo kwa kipato halali bila kufika miaka 50 plus hutoboi ng'oo utapata pesa ya kula tu na kuhifadhi matofali yasiibiwe.
Kila msemo duniani una tabia za kibaguzi kwa watu ipendayo.Tusing'ang'anie misemo isiyoendana na uhalisia tulionao.Mmiliki wa KFC afufuke atupe miongozo.Maneno "life begins at 40" yana maana kuwa mtu akifika umri wa miaka 40, maisha yanakuwa bora zaidi, labda kwa sababu tayari mtu keshapata skills, experiences na namna bora ya kuyafurahia maisha. Msemo huu ulitungwa na mwanafalsafa Pitkins na umejipatia umaarufu mkubwa hapa duniani.
Katika kusomasoma kwangu nimekuja kufaham kwamba kumbe kuna watu wakifikia 40 wanapata hofu ya maisha(hapo hata mimi nikaanza kuwa na hofu), wanahisi uzee unakuja, ujana unaondoka, vile walivyokuwa wakiyafurahia maisha kama kujirusha, kula ujana vyote vinapotea ghafla.
Tunapoingia umri huu wa 40+, tunaanza kujitambua zaidi, kutambua thamani yetu zaidi na kutojali maisha na mawazo hasi ya wengine. Na hapa ndio hoja inapokuja, kwamba kwa mwafrika wa kawaida je ni kweli kwamba life begins at 40? Maana yapo mengi sana tunafatiliana, mtu kaacha yake anasumbukia ya jirani ili mradi tu amuumize au apate furaha kumuona mwenzake anaumia.
Wanasema at 46 life is at the peak, yaani kumbe ukifika 46 ndio umefikia peak ya maisha yako, baada ya hapo ile graph inaanza kushuka taratibu hadi upigwe chepe. Na wengine wanasema ukifika 40+ unatakiwa uwe tayari umefikia malengo yako kwa asilimia 90, kuzaa, kulea, career, kujenga, kusomesha...
Sasa je, nini kinaleta midlife crisis?
Kwa nini katika umri huo mara nyingi tunasemwa kuwa we're going through midlife crisis?
Je, ni kwa sababu huenda hatujafikia malengo yetu ya kimaisha na hivyo kufanya maisha kuwa na ukakasi?
Imagine katika umri huu:
● Huna mke/familia(very optional)
□ Watoto wadogo hawajaanza hata chekechea(kina sie).
● Hujawa na sehemu ya kujibanza(kijumba).
○ Hujawa stable career wise, bado unajitafuta.
Ni lazima kichwa kiwake moto, lazima stress levels ziwe juu na usipoangalia unaweza kupata sonona.
Msije na hoja ya maokoto tu.
Happy Sunday, mtuombee sie wakosefu!!
Nyie ndo toeni ushuhuda mnajionaje onajeKwamba mtu akiwa 40+ awe tayari amewekeza na pesa zinamfuata tu mkuu? Sasa mbona wengi wetu ndio tunaanza kujitafuta, tulichelewa either kusoma, kupata watoto, kuwekeza...
Do we still have another chance?
Hatari sana.Wakati mnabebeshwa hatima yenu kupitia misemo ya wengine, sisi tunaendelea kuishi tu, na ikifika 70 wengine life ndiyo ita begin there.
Ahahahah,nilipokuwa mdogo nilikuwa nawaza nikifikisha miaka 40 najiua ili nife nikiwa HB, Saiv nmeongeza kwenye 70 au 80
yeah! asante kwa ushauri kakVuta subra mkuu huenda mtizamo utabadilika
Kama binaadamu kuna vitu vingine unaona kabisa havikuumbwa kwaajili yako. Na enjoy sana nikiwa mwenyewe na uhuru wangu binafsi, labda nikilewa ndo napenda kuwa na watu karibu, ila nikiwa sober sipendelea kabisa social life wala mambo ya kuwa na wanawake/mwanamke wa kunigandamaamuzi magumu haya,
umewaza nini, au ndo ile 'ndoa ni utapeli'😂
Imagine unamaliza chuo at 25 yearsKwamba mtu akiwa 40+ awe tayari amewekeza na pesa zinamfuata tu mkuu? Sasa mbona wengi wetu ndio tunaanza kujitafuta, tulichelewa either kusoma, kupata watoto, kuwekeza...
Do we still have another chance?
mimi katika 45Ukifika 45 watoto wako watakuwa na umri gani mkuu.?
Very confusingI Think maisha hua yanaanza kuonekana yako speed pale unapoanza kupata watoto.
Because, hapo ndo hua tunaanza ku calculate umri.
Mfano umepata mtoto wa kwanza at 35 yrs as a man unapiga hesabu kuwa on average hadi amalize form six ni 19 yrs. So ukijumlisha na 35, unakua na 54yrs, tayari ndo unastaafu at 55. Hapo bado hajaenda chuo.
Na hapo hujapata wengine. Hiyo ndo inafanya kichwa iwake moto kabisaaaa