Jaamni huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere? Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;Dah! huo ni uongo wa wazi wazi, machache haya hapa ya kudhihakiwa George Washington:
Leticia, kuna tons and tons za dhihaka kwa George Washington. Unalidanganya bunge na Watanzania kwa ujumla kwani tunakuona live, kwa kuwa eti umekaa USA.Wewe inaonesha ulikuwa unakaa USA lakini huijui USA au unaona Watanzania tu wajinga kias cha kutudangaya?Inaonesha u mfinyu sana wa mawazo.Wakwanza wewe unalidhihaki jina la Nyerere kwani umeshaachika na bado unalitumia kama una hati miliki nalo.