Leticia Musore wa CHADEMA ahamia NCCR

bado Zitto ,yaani huyu siku akiondoka ntalipia hata kikosi cha matarumbeta toka pale magomeni na wale wacheza vibao kata wamsindikize huko CCM

Sahihi kabisa, na mi nitagharimikia vinywaji vya kikosi hicho.
 
Mhe. Mkumbo hakuna haja ya samahani najua kuna watu wengi wana ID mbilimbili................

Stop, mimi sina na sina haja ya kuwa na ID mbili. Niliamua mwenyewe kutumia jina langu na wala sina sababu ya kuingia na jina linngine la bandia. Jikite kwenye mjadala, achana na habari za kutabiri/kubashiri ID za watu.
 
.......................
tusiwe hivi jamani

Leticia ni binadamu na anjua anachofanya... CDM kwa sasa inaingia kwenye transition ambayo itai-define upya kama chama cha watu au cha kikundi cha watu.

In any organization, if you dont pass this stormy phase, mara nyingi unakua kwenye utopia au unakua goigoi...

All teh best Leticia, ila message to CDM kwamba you need to relook at what was the common goal for your executive members na kama wengine hawamatch hilo, au kama kuna haja ya kubadilika, badilikeni kupisha wenye moyo na nchi yao

I would rather see 1000 leticia leave than staying as a small party trying to keep leticia happy

To my knowledge, zitto was to go to NCCR some time ago, probably he better go now so that CDM dont have more destructive minds in their way to full opposition party

Mkuu najua wewe ni mwanachama safi na hupendi sifa za kijinga maoni yako ninayaheshimu sana na nimekupa Reputation kwa hiyo post yako niliyoi quote umenikuna sana wengi wetu humu ndani ukizungumza ukweli wanasema wewe pandikizi au umetumwa. CDM ina mengi ya kuyafanya ili iweze kuaminiwa na wananchi haya mambo ya kubebana kwenye chama yameshapitwa na wakati chama kiwe cha wananchi sio chenye taswira ya watu fulanifulani hili litasababisha propaganda dhidi ya CDM ziaminike kiurahisi na wananchi as wengi wao wamenyimwa elimu kusudi ili wadanganyike kirahisi.

Thanks haikutosha naamini reputation ni stahili yako.
 
Angalia kwa macho yote mawili tumia ubongo kwa unayoyaona mbele yako kisha geuka nyuma utamuona Dr Slaa akikimbia CCM kuingia CDM kwa sababu pacha na ya huyu mama kisha shusha pumzi zako na useme Mungu nisamehe kwa kuhukumu hakika hukumu ni kazi yako wewe tu kwani wewe ni hakimu wa kweli.

Unao ushahidi kwamba wana sababu pacha?
 
Stop, mimi sina na sina haja ya kuwa na ID mbili. Niliamua mwenyewe kutumia jina langu na wala sina sababu ya kuingia na jina linngine la bandia. Jikite kwenye mjadala, achana na habari za kutabiri/kubashiri ID za watu.

Samahani kwa hilo. neniyauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu nadhani umeona swali langu ila you trying to escape amini nia ni njema nayo ni kukuza demokrasia nadni ya chama ni vyema tukajua vigezo mnavyovitumia kuwa rank hawa kina mama especial new comers kama kina Rose Kamili, Naomi Kaihula na wengineo nkupewa top rank na long serving kupewa alama za chini.? Ni hilo tu Mkuu wangu

Songela in advance.
 
Unao ushahidi kwamba wana sababu pacha? otherwise STFU

Kwanza shukran kwa kunitukana ila amini mie sipo kwa matusi nipo kujadili mijada yenye kuweza kuleta tija ya mtu mmoja mmoja kama Leticia na taifa kwa ujumla kizuri nitakisifia kibaya nitakiponda kwa hoja na sio kwa matusi. Pili naomba nipe sababu za Dr Slaa kuhama CCM na kuja CDM haikuwa baada ya yeye kukataliwa kugombea ubunge kwa mizengwe? Na huyu mama kwa ushahidi nilio nao kutokana na ninavyojua amefanyiwa zengwe haiwezekani mtu ahamie chama juzi juzi awe wa 17 au 29 yeye awe 29 hata kama kama angekuwa anauvumilivu gani angeshindwa.... ameshindwa mtumishi wa Mungu Slaa ataweza kondoo wa kawaida Musore? Tuache ushabiki utatupeleka pabaya makosa yakitendeka yarekebishwa sio kutetea hatutakuwa na tofauti na wanaotetea ufisadi kwa kutoona sio kosa.
 
Nimekuuliza ushahidi unaleta ngonjera ndeeefu ambayo haina kichwa wala miguu..naona huna ushahidi bana..

BTW, nimekutukana wapi..au unaweweseka malaria imepanda kichwani?
 
Samahani kwa hilo. neniyauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu nadhani umeona swali langu ila you trying to escape amini nia ni njema nayo ni kukuza demokrasia nadni ya chama ni vyema tukajua vigezo mnavyovitumia kuwa rank hawa kina mama especial new comers kama kina Rose Kamili, Naomi Kaihula na wengineo nkupewa top rank na long serving kupewa alama za chini.? Ni hilo tu Mkuu wangu

Songela in advance.
you trying ndiyo kitu gani kama hujui lugha za watu ongea hata kikwere tutakuelewa, unataka vigezo wewe kama nani na usipopewa utafanya nini unafikiri kelele zako za chura zitamzuia ng'ombe kunywa maji. Tambwe Hiza alipoingia na kupewa cheo alikuwa na kigezo gani wakati kuna watu wana miaka nenda rudi CCM, kama kigezo ni muda wewe hadi sasa umepewa cheo gani CCM changanya huko. List imewekwa kama hutaki unaacha pambaf mkubwa.
 
Kwanza shukran kwa kunitukana ila amini mie sipo kwa matusi nipo kujadili mijada yenye kuweza kuleta tija ya mtu mmoja mmoja kama Leticia na taifa kwa ujumla kizuri nitakisifia kibaya nitakiponda kwa hoja na sio kwa matusi. Pili naomba nipe sababu za Dr Slaa kuhama CCM na kuja CDM haikuwa baada ya yeye kukataliwa kugombea ubunge kwa mizengwe? Na huyu mama kwa ushahidi nilio nao kutokana na ninavyojua amefanyiwa zengwe haiwezekani mtu ahamie chama juzi juzi awe wa 17 au 29 yeye awe 29 hata kama kama angekuwa anauvumilivu gani angeshindwa.... ameshindwa mtumishi wa Mungu Slaa ataweza kondoo wa kawaida Musore? Tuache ushabiki utatupeleka pabaya makosa yakitendeka yarekebishwa sio kutetea hatutakuwa na tofauti na wanaotetea ufisadi kwa kutoona sio kosa.
Wewe unafaida gani na chadema kung'ang'nia mambo ya Leticia, kama una uchungu na taifa kwanini hatujakusikia unamtetea Sitta kwa kupewa kipindi kimoja cha uspika? toa umbea wako huna uchungu wala nini.
 
you trying ndiyo kitu gani kama hujui lugha za watu ongea hata kikwere tutakuelewa, unataka vigezo wewe kama nani na usipopewa utafanya nini unafikiri kelele zako za chura zitamzuia ng'ombe kunywa maji. Tambwe Hiza alipoingia na kupewa cheo alikuwa na kigezo gani wakati kuna watu wana miaka nenda rudi CCM, kama kigezo ni muda wewe hadi sasa umepewa cheo gani CCM changanya huko. List imewekwa kama hutaki unaacha pambaf mkubwa.

Kwa namna hii hatuwezi kujenga zaidi ya kubomoa haya nimekuelewa na shukrani kwa kuniita mimi CCM lakini napenda utambue mimi ni mwana mageuzi kushinda wewe sijajawa unafiki namshukuru Mungu japo elimu yangu ndogo sikuwa stunted wakati wa udogo wangu naweza ku reason out mambo sipelekwi kama mbuzi anaeenda kuchinjwa. Kuifananisha Chadema na CCM kwenye hili swala sio sawa ila kama wewe unajinasibisha ni mwanachama bora kheri pia.
 
Wewe unafaida gani na chadema kung'ang'nia mambo ya Leticia, kama una uchungu na taifa kwanini hatujakusikia unamtetea Sitta kwa kupewa kipindi kimoja cha uspika? toa umbea wako huna uchungu wala nini.

Sifurahii makapi kuingia kwenye vyama vya mageuzi maana kama alishindwa kusimamia haki akiwa spika hatuwezi kumtumia akiwa mbunge hakuwa na dhamira ya kweli na kuuweka utaifa mbele. Alijali maslahi na umaarufu binafsi ila jamaa wakamshtukia agenda zake, mie kwangu Sitta ni makapi tu!
 
Wana JF tuliza kichwa ila Kama huyu dada kahama ahame watahama wengi yeye si wa kwanza. Hatuna hakika Lakini tumeona huyu dada ni mtu wa aina gani kwa nini asiweke mambo hayo wazi chamani mwka? Kumbuka CDM is going strong na haitabomoko we know the trck let her travel in peace there is no room for opportunists in CDM.
 
Kwa namna hii hatuwezi kujenga zaidi ya kubomoa haya nimekuelewa na shukrani kwa kuniita mimi CCM lakini napenda utambue mimi ni mwana mageuzi kushinda wewe sijajawa unafiki namshukuru Mungu japo elimu yangu ndogo sikuwa stunted wakati wa udogo wangu naweza ku reason out mambo sipelekwi kama mbuzi anaeenda kuchinjwa. Kuifananisha Chadema na CCM kwenye hili swala sio sawa ila kama wewe unajinasibisha ni mwanachama bora kheri pia.
Waliokijenga Chadema ni wao na watakaokibomoa ni wao wewe kinakuhusu nini wamekuita uwasaidie, kwanini usiwashauri CCM ama CUF yako hatutaki ushauri wako kweeeeeendaaaaa poteza.
 
Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi kwani yeye alikuwa kati ya wabunge ishirini wa viti maalumu lakini jina lake likakatwa.

Mwenyekiti Mbowe shutuma hizi ni za kweli au za mfa maji?.

Kumbe yeye alikuwa yuko CDM kwa ajili ya ubunge? mwanamapinduzi gani, mimi naunga mkono kabisa jina lake kukatwa, hafai, na nadhani huko NCCR ndiko kuna mfaa.
 
Wengi wanaupanda mkenge wa CHADEMA wakidhani ni chama cha wananchi wote kumbe kwenye inner core kuna uchakachuaji ,naamini wapo ambao wameanza kuiona hio hali mmoja wapo akiwa huyo ,angalau Chadema wangekuwa na udini lakini undugu na ukabila ndio utakisambaratisha Chama hicho. Tusubiri tuone mwisho wao.
 
Samahani Mheshimiwa Mkumbo nagojea jibu la swali langu amini hakuna ulazima wa kunijibu ila ningependa nikusikie wewe mwenyewe kwa kauli yako kuwa huwezi kujibu kwani nilichokiuliza ni ujinga! Nakuahidi nitaheshimu na nitafunga mjadala. Samahani kama nimekukosea.
 
Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi kwani yeye alikuwa kati ya wabunge ishirini wa viti maalumu lakini jina lake likakatwa.

Mwenyekiti Mbowe shutuma hizi ni za kweli au za mfa maji?.

Ingekuwa kiongozi wa Chama cha Mch. Mtikila amejiunga na NCCR Mageuzi isingekuwa habari (news) lakini kwa sababu ni CHADEMA inahusika basi hiyo ni habari. Hiyo ni ishara tosha kwamba CHADEMA sasa imepanda chati. Mwanachama hata wa kawaida wa CHADEMA akihamia chama kingine including ccm basi hilo ni bonge la deal. Hongereni viongozi na wanachama watiifu wa CHADEMA kwa kukipandisha chati chama. Ninamwomba Mungu aendelee kuwatia nguvu ili mkiongoze chama kwa hekima na busara na ukombozi kamili upatikane ifikapo 2015.
 
Back
Top Bottom