Leticia Musore wa CHADEMA ahamia NCCR

Leticia Musore wa CHADEMA ahamia NCCR

Kwenye Msafara wa Mamba na Kenge wapo.
Acha Kenge wote wajiondoe wenyewe mapema ili tubakie na (Mamba) wapiganaji wa ukweli wenye uchungu wa kuleta mabadiliko ya kweli.
 
mwenye jibu zuri hapa atakuwa DR.MKUMBO kwani ndio alipewa kazi kama consultant kutengeneza vigezo viti maalum,atuambie kama huyu alikuwa kati ya ishirini kama anavyodai.

Tatizo la huyu mama yetu alikariri kwamba yeye lazima ilikuwa awe mbunge wa viti maalumu kwa sababu tu alikuwa mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Bahati mbaya kwake ni kwamba hatukuwa na kigezo specific cha kumlenga mwenyekiti wa bawacha au kiongozi yeyote mwingine. Katika vigezo tulivyotumia yeye aliangukia kwenye namba 29 kama inavyoonekana katika orodha hapa chini ya first 40 candidates.

Katika safari hii ya mapambano sio abiria wote watakaofika mwisho wa safari; wapo watakaoshukia njia-huyu ni mojawapo!!

Orodha ya wanaopendekezwa kuwa wabunge wa viti maalumu-CHADEMA
Orodha ya wanawake 40 wa juu​
1. Lucy Fidelis Owenya
2. Esther Nicholas Matiko
3. Mhonga Said Ruhwanya
4. Anna MaryStella John Mallac
5. Halima James Mdee
6. Paulina Philipo Gekul
7. Conjesta Leos Rwamlaza
8. Susan Kiwanga
9. Grace Sindato Kiwelu
10. Susan Lyimo
11. Regia Mtema
12. Christowaja Mtinda
13. Anna Valerian Komu
14. Mwanamrisho Abama
15. Joyce Mukya
16. Leticia Mageni Nyerere
17. Naomi Kaihula
18. Chiku Abwao
19. Rose Kamil Sukum
20. Christina Lissu Mughiwa
21. Raya Ibrahim Hamisi
22. Philipa Geofrey Mturano
23. Mariam Salum Msabaha
24. Rachel Mashishanga Robert
25. Sabrina Hamza Sungura
26. Rebecca Michael Mngodo
27. Cecilia Daniel Pareso
28. Subira Shabani Waziri
29.
Leticia Gati Musore
30. Helen John Kayanza
31. Rosana Osemu Chapita
32. Mona Shomary Bitakwate
33. Evarim Adrian Mpangama
34. Asha Sudi Kayumba
35. Hija Rashid Wazee
36. Mary James Martin
37. Sophia Hebron Mwakagenda
38. Bupe Odeni Kyambika
39. Magreth Thadei Mangowi
40. Esther Cyprian Daffi
 
ile list iliyoenda NEC iko wapi vile tuone alikuwa wangapi?

Tatizo list ya CHADEMA ilipangwa kwa ubora, kutoka 1 hadi 104, kwa maana ya kwamba labda wangeshinda kwa 100% basi wabunge wote wangeukwaa ubunge. Bahati huyu Leticia Mutori alikuwa wa 101 kwa ubora kwenye list na wa mwisho kabisa alikuwa Nakaaya. Kama mnavyojua wabunge waliotakiwa na nec ni 25, yeye asingeweza kupewa.
 
chapa lapa mama "when you come to equity come with clean nands" yours was and stil is stained!
 
bado Zitto ,yaani huyu siku akiondoka ntalipia hata kikosi cha matarumbeta toka pale magomeni na wale wacheza vibao kata wamsindikize huko CCM

huo ni ukosefu wa fikra endelevu,kwani zitto alikutendea nini baya
 
Kwa list iliyoenda NEC, angalia post number 22 ya Dr Kiltila Mkumbo!
 
Mwache aende Chadema ni jeshi kubwa la kimapinduzi hata akiama Zitto au mbowe bdo litasimama,''Revolution mind will never die''
 
Safari ya kufa kwa Chadema imeanza.

Muda mfupi tulisikia M/Kiti Mbeya, sasa M/Kiti wanawake Taifa....more to follow.

Nilikuwa sahihi hata mimi kujitoa wiki iliyopita.
 
"Uongozi wa juu wa chama haukuwa ukinishirikisha katika maamuzi, haukuijali nafasi yangu kama mwenyekiti wa Baraza la wanawake kitaifa, ndo maana leo tr 22 Novemba, nimehamia NCCR-Mageuzi" Leticia Ghati Mosore
 
Lazima huyo mama ajue kuwa chadema ina wenyewe kama ilivyo CCM na nadhani sote tunawajua wenye Chadema waliobaki including Zitto ni mmoja wa wanachadema ambao wapowapo tu.......
 
Safari ya kufa kwa Chadema imeanza.

Muda mfupi tulisikia M/Kiti Mbeya, sasa M/Kiti wanawake Taifa....more to follow.

Nilikuwa sahihi hata mimi kujitoa wiki iliyopita.
Impurity kwani wewe nani anakujua labda mkeo.
 
Tatizo la huyu mama yetu alikariri kwamba yeye lazima ilikuwa awe mbunge wa viti maalumu kwa sababu tu alikuwa mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Bahati mbaya kwake ni kwamba hatukuwa na kigezo specific cha kumlenga mwenyekiti wa bawacha au kiongozi yeyote mwingine. Katika vigezo tulivyotumia yeye aliangukia kwenye namba 29 kama inavyoonekana katika orodha hapa chini ya first 40 candidates.

Katika safari hii ya mapambano sio abiria wote watakaofika mwisho wa safari; wapo watakaoshukia njia-huyu ni mojawapo!!

Orodha ya wanaopendekezwa kuwa wabunge wa viti maalumu-CHADEMA
Orodha ya wanawake 40 wa juu​
1. Lucy Fidelis Owenya
2. Esther Nicholas Matiko
3. Mhonga Said Ruhwanya
4. Anna MaryStella John Mallac
5. Halima James Mdee
6. Paulina Philipo Gekul
7. Conjesta Leos Rwamlaza
8. Susan Kiwanga
9. Grace Sindato Kiwelu
10. Susan Lyimo
11. Regia Mtema
12. Christowaja Mtinda
13. Anna Valerian Komu
14. Mwanamrisho Abama
15. Joyce Mukya
16. Leticia Mageni Nyerere
17. Naomi Kaihula
18. Chiku Abwao
19. Rose Kamil Sukum
20. Christina Lissu Mughiwa
21. Raya Ibrahim Hamisi
22. Philipa Geofrey Mturano
23. Mariam Salum Msabaha
24. Rachel Mashishanga Robert
25. Sabrina Hamza Sungura
26. Rebecca Michael Mngodo
27. Cecilia Daniel Pareso
28. Subira Shabani Waziri
29.
Leticia Gati Musore
30. Helen John Kayanza
31. Rosana Osemu Chapita
32. Mona Shomary Bitakwate
33. Evarim Adrian Mpangama
34. Asha Sudi Kayumba
35. Hija Rashid Wazee
36. Mary James Martin
37. Sophia Hebron Mwakagenda
38. Bupe Odeni Kyambika
39. Magreth Thadei Mangowi
40. Esther Cyprian Daffi
Thanks
 
Apewe hiyo List ya Mkumbo naye ajionee mwenyewe! Kama walifanya hiyo list kuwa siri basi analalamika bila kujua kilichotokea, lakin kama ameiona na kuendelea kulalamika basi huyo alilenga ubunge. Tunamtakia safari njema kwa vile anatumia haki yake ya msingi!
 
Angepata ubunge asingeyasema yote hayo. Watajuchuja hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom