Leticia Musore wa CHADEMA ahamia NCCR

huyo mama hana lolote kumbe alikuwa anasubiria kupewa ubunge wa chee atambae zake kule
 
Wadau naomba niliweke hili mezani tulijadili. Jana tumesikia mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambala amejiuzulu kwa taarifa kwamba alikua akikabiliwa na tuhuma za kupokea hongo na kukihujumu chama kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Leo tena mama leticia gbati ambaye alikua mwenyekiti wa baraza la wanawake la chadema (taifa) amejiudhuru na kujiunga na nccr akidai eti chadema kimejaa ukabila na udikteta na kwamba amekosa ubunge wa viti maalumu kwa sababu za kujuana. Swali je hayo madai ni ya kweli au kuna mkono wa mtu unajaribu kuivuruga chadema?!
 
Naona tutaendelea kusikia mengi na hapo ukweli utapatikana pumba na mchele maana humu JF tunatukanana sana kisa Siasa ukipinga au kukosoa hoja wewe si CHADEMA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Wadau naomba niliweke hili mezani tulijadili. Jana tumesikia mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambala amejiuzulu kwa taarifa kwamba alikua akikabiliwa na tuhuma za kupokea hongo na kukihujumu chama kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Leo tena mama leticia gbati ambaye alikua mwenyekiti wa baraza la wanawake la chadema (taifa) amejiudhuru na kujiunga na nccr akidai eti chadema kimejaa ukabila na udikteta na kwamba amekosa ubunge wa viti maalumu kwa sababu za kujuana. Swali je hayo madai ni ya kweli au kuna mkono wa mtu unajaribu kuivuruga chadema?!

Waondoke tu mapema, baadae Chadema itabaki na watu wazalendo sio kutaka vyeo tu.
 
Wadau naomba niliweke hili mezani tulijadili. Jana tumesikia mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambala amejiuzulu kwa taarifa kwamba alikua akikabiliwa na tuhuma za kupokea hongo na kukihujumu chama kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Leo tena mama leticia gbati ambaye alikua mwenyekiti wa baraza la wanawake la chadema (taifa) amejiudhuru na kujiunga na nccr akidai eti chadema kimejaa ukabila na udikteta na kwamba amekosa ubunge wa viti maalumu kwa sababu za kujuana. Swali je hayo madai ni ya kweli au kuna mkono wa mtu unajaribu kuivuruga chadema?!

Acheni pumba zijitenge na mchele.
 
sasa huyu mama na hiyo midera yake ndo alitaka awe mbunge vitu maalumu?khaaa kazi kweli kweli..akauze vitumbua huko atupishe wenye chama tufanye mambo serious
 
Wadau naomba niliweke hili mezani tulijadili. Jana tumesikia mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambala amejiuzulu kwa taarifa kwamba alikua akikabiliwa na tuhuma za kupokea hongo na kukihujumu chama kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Leo tena mama leticia gbati ambaye alikua mwenyekiti wa baraza la wanawake la chadema (taifa) amejiudhuru na kujiunga na nccr akidai eti chadema kimejaa ukabila na udikteta na kwamba amekosa ubunge wa viti maalumu kwa sababu za kujuana. Swali je hayo madai ni ya kweli au kuna mkono wa mtu unajaribu kuivuruga chadema?! Source mliman tv.
 
Hivi ukiwa mwenyekiti wa baraza la wanawake Chadema ni guarantee upewe ubunge? Naomba kujua
 
Huyu Mwenyeketi kaeleza vizuri sana na kama wanasiasa wa Bongo wangekuwa hivyo tungekuwa mbali sana, kasema anapisha uchunguzi ina maana ikithibitika kuwa anazushiwa atarudi kwenye anafasi yake, maana hajahama chama. Huyo mama kasema wazi kisa cha kuhama ni kukosa Ubunge sasa watu makini mnaelewa kuwa hiyo ni njaa
 
hahahahahaha,haooo sio nakaya peke yake!
Sasa nccr ndo utapata au? hahahahaha
 
Kama aliingia chadema akiwa na lengo la kupata vyetu ajue alipotea njia,aende hukohuko nccr,pengine watampa cheo kikubwa zaidi ya alichokuwa nacho wakati alipokuwa chadema.Upo sawa mgafilika
 
MAGUGU NA NGANO YANAMEA PAMOJA NA SIKU YA MAVUNO NDIPO UTAKAPOJUA MAGUGU NI YEPI nA NGANO NI ZIPI?
 
yaani kwa nafasi yake huyu mama? ameshindwa kugombea jimbo? au kwa vile Bi Simba amapewa ubunge kupitia chama naye akaona ni stahili? mbona vigogo wenzie wamegombea?
 
Chadema si mahali pa kutafuta pesa wala cheo mwenye wazo ilo afute kabisa,chadema ipo kwa kutumikia wananchi.
 
Wadau naomba niliweke hili mezani tulijadili. Jana tumesikia mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambala amejiuzulu kwa taarifa kwamba alikua akikabiliwa na tuhuma za kupokea hongo na kukihujumu chama kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Leo tena mama leticia gbati ambaye alikua mwenyekiti wa baraza la wanawake la chadema (taifa) amejiudhuru na kujiunga na nccr akidai eti chadema kimejaa ukabila na udikteta na kwamba amekosa ubunge wa viti maalumu kwa sababu za kujuana. Swali je hayo madai ni ya kweli au kuna mkono wa mtu unajaribu kuivuruga chadema?!

m/kiti safi sana kupisha uchunguzi! lakini hii mbuguma mbona hukutuarifu siku uliyo jiunga kivyako mwana!,,,,
 
Wadau naomba niliweke hili mezani tulijadili. Jana tumesikia mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambala amejiuzulu kwa taarifa kwamba alikua akikabiliwa na tuhuma za kupokea hongo na kukihujumu chama kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Leo tena mama leticia gbati ambaye alikua mwenyekiti wa baraza la wanawake la chadema (taifa) amejiudhuru na kujiunga na nccr akidai eti chadema kimejaa ukabila na udikteta na kwamba amekosa ubunge wa viti maalumu kwa sababu za kujuana. Swali je hayo madai ni ya kweli au kuna mkono wa mtu unajaribu kuivuruga chadema?!

Kwanza huyo mama ni mzushi,yote ni kwa sababu amekosa ulaji.CHADEMA haikuanzwa leo kuhusishwa na ukabila,if that's true kwa nini hakujiondoa wakati huo au kwa nini hakumsupport marehemu Wangwe alipoibuka na tuhuma za namna hii,Mnafiki huyu na huenda mmoja wanaotumiwa na mafisadi kujaribu kukisambaratisha chama chetu.WASHINDwe
 
Back
Top Bottom