Sabayi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 2,310
- 991
Kwani tatizo nini?
Au unataka kumuwekea Mungu mipaka?
Nashukuru kwa kunisaidia kumjibu bwana Ally Kombo that's a perfect answer he is God he knew what he was doing
Kwani tatizo nini?
Au unataka kumuwekea Mungu mipaka?
Kwahiyo alipo kufa msalabani, aliye waumba yeye mwenyewe ndio walio muua !?
Aiseeh !
Una uhakika kuwa vyote vviliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu?
Na kama ni hivyo kwanini tu usiufikirishe ubongo wako na kujua kuwa hata hao waliovichambua nao waliongozwa na roho mtakatifu?
Nashukuru kwa kunisaidia kumjibu bwana Ally Kombo that's a perfect answer he is God he knew what he was doing
na hapa ndipo na mimi napata shida ya ninapojadili swala la uchaguzi wa vitabu vya biblia na wakristo wenzangu.
walio kaa chini na kusema hivi viingie na vile visiingie kwa hakika hawakuongozwa na roho bali walichagua kwa mapenzi yao na sababu zao kwa wakati huo pengine au walilenga wakati mrefu ujao. nina mashaka sana na vitabu vilivyoachwa kuingizwa katika jumuisho la vitabu vilivyotengeza biblia. na zipo habari kuwa vitabu hivyo baadhi vilifichwa na kuwa siri kwa wajao wasijue nini kilitokea wapi. wao ukiwasikia wanatetea kuwa vitabu vilivyoondolewa vilikuwa na maudhui sawa na vile walivyoviweka wakaona ni marudio wakaamua kuvitoa. lakini kuna kitabu cha maria magdalena hakipo katika biblia yetu je sababu ni nini?
je ilikuwa ni muongozo wa roho mtakatifu kutokiweka katika biblia? au kuna sababu zao?
dini inaongozwa na watu wenye malengo tofauti imani ni kitu kingine tofauti. tabaka hili la watu wanaoendesha dini wao ndio wanaamua wafuatao dini hiyo wafanye nini sasa kwa manufaa ya nani that is an issue of discussion.
Hapa ndipo ambapo tunatakiwa tuwe makini sana
Kwenye suala la Maria Magdalena,ninachojua mimi ni kuwa hakuwahi kuandika kitabu chochote kile kutokana na nafasi ya wanawake nyakati hizo labda awe na sababu maalum sana!
Maandiko yanasema wazi kuwa Neno lake halitapotea milele,na kama kuna kisichojulikana naamini hilo sio neno lake
Kuna mambo mengi sana yamezushwa kiasi kwamba ili utambue inatakiwa uwe na ufahamu mkubwa sana kuhusiana na haya mambo
Kanisa katoliki lina nafasi kubwa sana kwenye hili,na hata hizi habari za Da Vinci zinahusiana nao,manzo kulikuwa hakuna biblia na ilifika mahali wakristo wa kwanza wakaona ni vyema kuvikusanya na kuviweka kwenye mjumuiko mmoja ili wasomaji wasije kupata tabu na pia waliamua kuyaweka mafundisho ya Yesu kwenye maandishi ili yasipotee,suala la kuviweka vitabu hivyo na ni vitabu gani viwekwe ninamini kuwa hilo jambo halikufanyika hivihivi tu ni lazima lilikuwa na usimamizi wa nguvu iliyofanya maandiko hayo yakaandikwa
Kitendo cha maandiko hayokuwepo hadi leo ni ishara tosha kabisa ya uwezo mkubwa uliokuwa unasimamia zoezi zima la kuandikwa na kukusanywa kwa vitabu hivyo
Kuna injili sijui ya barnaba na mengine ya kufanana na hayo,leo kuna watu hawakikubali kitabu cha Ufunuo eti wanadai mwandishi sio Yohana alieandika injili,kwa kifupi kuna mengi sna yanayoendelea ilimradi tu wakichaue kitabu hicho kitakatifu!
Be carefully !!!!!!
Ukiachana na picha ya Monalisa pia Leonardo alichora picha maarufu ya the last supper ambayo pia ilizua utata kwani inadaiwa kuna siri kubwa iliyofichwa kwenye picha hiyo. Inadaiwa ya kuwa huyo mtu aliyekaa pembeni ya yesu kristu upande wa kushoto alikua ni Marry Magdelena
Hapa ndipo ambapo tunatakiwa tuwe makini sana
Kwenye suala la Maria Magdalena,ninachojua mimi ni kuwa hakuwahi kuandika kitabu chochote kile kutokana na nafasi ya wanawake nyakati hizo labda awe na sababu maalum sana!
Maandiko yanasema wazi kuwa Neno lake halitapotea milele,na kama kuna kisichojulikana naamini hilo sio neno lake
Kuna mambo mengi sana yamezushwa kiasi kwamba ili utambue inatakiwa uwe na ufahamu mkubwa sana kuhusiana na haya mambo
Kanisa katoliki lina nafasi kubwa sana kwenye hili,na hata hizi habari za Da Vinci zinahusiana nao,manzo kulikuwa hakuna biblia na ilifika mahali wakristo wa kwanza wakaona ni vyema kuvikusanya na kuviweka kwenye mjumuiko mmoja ili wasomaji wasije kupata tabu na pia waliamua kuyaweka mafundisho ya Yesu kwenye maandishi ili yasipotee,suala la kuviweka vitabu hivyo na ni vitabu gani viwekwe ninamini kuwa hilo jambo halikufanyika hivihivi tu ni lazima lilikuwa na usimamizi wa nguvu iliyofanya maandiko hayo yakaandikwa
Kitendo cha maandiko hayokuwepo hadi leo ni ishara tosha kabisa ya uwezo mkubwa uliokuwa unasimamia zoezi zima la kuandikwa na kukusanywa kwa vitabu hivyo
Kuna injili sijui ya barnaba na mengine ya kufanana na hayo,leo kuna watu hawakikubali kitabu cha Ufunuo eti wanadai mwandishi sio Yohana alieandika injili,kwa kifupi kuna mengi sna yanayoendelea ilimradi tu wakichaue kitabu hicho kitakatifu!
Be carefully !!!!!!
na inasemekana kuwa vitabu vyote vilivyomzungumzia mary navyo vyote viliachwa.Hapa ndipo ambapo tunatakiwa tuwe makini sana

Labda nikuulizemkuu , napenda sana kuamini unayoyasema lakini kuna mambo mengi sana juu ya uamuzi uliokuwa ukifwanywa kuhusu kitabu gani kiingie katika jumuiko la vitabu bya biblia uamuzi huu siwezi kuuita umeongozwa na roho, ni nguvu na uwezo na matakwa ya waliokuwa madarakani wakati huo.
Yapo lakini hayayafanyi madai yako kuwa kweli!ni mangapi kanisa limefanya kwa kumsinginzia mungu kumbe ni mambo yaliyofanywa kwa mapenzi na matakwa ya wanadamu?
Hapana!yawezekana kabisa unasema kuwa magdalena hakuwahi kuandika kitabu kwa sababu tu kanisa halijakwambia hivyo au mafundisho ya imani yako hayajawahi kugusia hilo.
Hebu leta hizi document!ni kweli wakati huo wanawake hawakuruhusiwa kutawala katika dini wala kuwa walimu wa dini. lakini zipo documents zinazothibitisha kuwa maria magdalena aliiandika kitabu na kiko excluded katika biblia tunayoijua mimi na wewe.
Hapa unatakiwa ujue kutofautisha mambo ya kawaida na neno la Mungumkuu, katika dini kuna mengi sana yaliyojifisha kwa interest ya kanisa siyo interest ya mungu! kumbuka watawala siku zote huamua kipi kiwe na kipi kisiwe kwa namna yoyote ile. kazi ni kwetu kuchambua nje ya box pasipo kuvunja imani juu ya muumba wetu.
Bado hizi ni hisia tu!mkuu,
inasemekana, maria magdalena alikuwa wa mwanafunzi karibu sana na yesu si kwa mapenzi kama wengi wanavyodhani bali kama mtu aliyejiona mkosaji sana na anahitaji ukaribu na huyu aliyemuamini kuwa ametakasa dhambi zake, alitumia muda wake mwingi kujifunza mambo mengi sana juu ya mungu na imani kwa ujumla, kiasi kwamba inasadikika kuwa alijua mambo mengi na alikuwa mfuasi mzuri sana wa yesu. yesu alipokufa maria aliandika yale yote aliyoyaona akiwa na yesu na mambo mengi yesu aliyomfundisha,
This is a lie!na inasemekana kuwa maria ndio alipaswa kuongoza kundi lile la mitume waliokuwa wanafunzi wa yesu lakini kwa vile mila na desturi hazikuruhusu basi akashindikana.
Mkuu,na kwa sababu hiyo basi hata kitabu chake kiliachwa kujumuishwa katika vitabu vile sasa mimi sijui je ni kwa sababu alikuwa mwanamke au katika maandiko yake hayo kulikuwa na kitu ambacho kanisa halitaki wakristo wajue mimi sijui.
Kuwa mwanafunzi wake sina tatizo napo,tatizo ni kuhusu maandiko ambayo inadaiwa yana umuhimu mkubwa kiasi hiki!haya nimeyapata katika scientific research on the truth about mary magdelen. documentary hiyo ilikuwa inaonesha ancient docs and facts na mwisho walikiri kusema kutokana na uthibitisho wa mambo mengi waliyoyapate juu ya mary wamemalia kwa kusema si kweli kuwa mary alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na yesu bali alikuwa karibu na yesu kama mwanafunzi wake.
na inasemekana kuwa vitabu vyote vilivyomzungumzia mary navyo vyote viliachwa.
go find the books in vatican library if and only if you can.
kama vitabu wanavyodai vimeenguliwa kwa sababu eti vina jirudia content zake kwa nini hatuvioni? kwa nini kanisa haviviweki wazi kuwa hivi vilikuwa ni baadhi ya vitabu wakati huo vilivyoeleza mambo ya yesu au ukristo lakini viko vimoja vimoja hatukuviingiza. kwa nini havijulikani kabisa na hatujawahi kusikia hata kutajwa tu na wachungaji mapadri na wahubiri?
tumewahi kujiuliza hili?
Vatcan????
Sory,i don't trust them!
Labda nikuulize
Una ushahidi wa haya madai yako?
Yapo lakini hayayafanyi madai yako kuwa kweli!
Hapana!
Hebu leta hizi document!
Hapa unatakiwa ujue kutofautisha mambo ya kawaida na neno la Mungu
Neno la Mungu ni yeye mwenyewe anaelisimamia,hivyo kuwa makini sana na hii kitu!