bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 744
- 1,264
in sha allah, allah (t.w) akufanyie tahfif upate kuwa sawa kiafya.
CKD sababu kubwa ni diabetesNingekua wewe ningeanza na life style modifications approach kuimanage hiyo pressure.
Ningepunguza sana chumvi.
Ningeacha myama nyekundu....
Nimesema miongoni au hujaona?CKD sababu kubwa ni diabetes
Uli control vipi mkuu?karibu kwenye ulimwengu huu!u can controll it mimi yangu sasa imefika 124/80 na ilikuwa mbali 177/110 nikawa nahangaika sana nayo.pole controll ur diet.
Pole sana kiongoziNimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.
Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.
Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Pole sana kwa tatizo hilo la presha ya kupanda (Hypertension), lakin uamuzi uliofanya wa kuacha dawa sio sahihi ukizingatia presha bado ipo kt hali ya hatari, ni kweli baadhi ya dawa huwa changamoto kwa baadhi ya wagonjwa lakin unachotakiwa kufanya ni kurud kwa Dr wako na kumueleza unavyohis then mtashauriana dawa gani utumie.Ahsante kwa ushauri mzuri. Niwe mwazi kabisa. Dawa nilizoanza kutumia nimesitisha. Jana na leo sijatumia, na sababu za kusitisha ni kwamba baada ya kuanza tu kutumia, ahsubuhi yake nikaanza kusikia mwili hauna nguvu. Nikajua ni kwa kuwa nilikojoa sana usiku huo.
Ahsubuhi nikaanza kunywa maji. Nilikunywa maji lita 5. Nilikojoa sana. Jioni ile hali ya mwili kukosa nguvu niliendelea kuisikia mpaka jioni ya saa 2 usiku.
Nikanyanyua simu kuongea na dr m1 ambaye ni rafiki yangu. Akanishauri nikacheck tena, labda kipimo cha mwanzo hakikuwa sahihi. Nikaenda kupima, this ilikuwa sehemu nyingine. Kupima ikasoma 180/110 imepungua 7/5.
Nikarudi home, nikanywa dawa. Kukojoa kama kawa. Ahsubuhi ile hali ya kuishiwa nguvu nikaona kama imezidi. Nikaendele kunywa maji lita 5 nyingine. Mpaka jioni nikajiona sipo sawa tofauti na kabla ya kuanza kutumia dawa.
Kwa hiyo usiku huo sikutumia tena dawa. Nikaamka kidogo nipo poa. Jana tena sijatumia, leo nimeamka mzima kabisa.
Nimeamua kuacha dawa kwa muda na sasa nabadili staili ya vyakula.
Ni mwendo wa mbogamboga, matunda, kupunguza chumvi na mazoezi.
Leo jioni nitaenda kucheck. Nitaleta mrejesho hapa.
Ahsante.