Leo nimepata bahati ya kukutana na Bi Hawa Ghasia

Ameolewa Hutu.
Nakumbuka siku aliyoapishwa na jk alikua amevaa jinguo la ajabu. Alipohamia mjini mbona hata wa mjini walimheshimu....
 
Mama yupo vizuri ana hekma ya uongozi, Wamama kama Hawa Ghasia ni hazina kwa kikazi cha sasa na cha baadae.
 
Mkuu upo Sawa?
Ko huamini nguvu mpya zaidi ya yaliyo pita.
Tafuta Tafsiri ya fikra mgando
Muda unaenda kasi sana Nadhani unakuacha nyuma.
Shukuru Mungu Kama shangazi zake walipona na ghadhabu ya boss wake
 
Umepewa kiasi gani Kwa ajili ya promo utugawiee na siee jombaaaa!
Huyu hafai hata kwa kupigia deki, hawa ndio waliochafua nchi wakati wa Vasco Dagama!! Hawezi endana na kasi ya Magu, alibebwa bebwa na shemeji yake mkwere!
 
Mungu apishilie mbali hilo wazo lako mkuu; HAwa Ghasia kua waziri? No, big No. Miongoni mwa mawaziri ambao sidhani kama walitakiwa hata kua manaibu waziri, huyu ni mmoja wao. Hivi si ndio huyu ambaye kuna mwezi mmoja hivi ( nadhani ilikua mwezi February) alitumia Tsh 52M kuongea kwa simu line ya airtel? Kaka, hapana bhana. Mhe Magu atafute wengine, sio huyu
 
Hawa huyu huyu mama wa nanguruwe kule Mtwara aiseeee Yule mama nampenda sana ni mstaarabu mno mno Mimi ningekuwa na uwezo wa kupata nafas nimsalimie tu ningefurahi Lakini Sina Uhakika Kama hii text anaweza kuiona ila Yule ndugu yetu anaejiiita Anastasia anipite mbali ni mnafiki Sana na nimtu mbaya mno muongo nashukuru alipigwa chini jpm huyu Hawa mrudishe tunamhitaji
 
Mkuuu hao Southern Corridor waskie tuuuuuu!
Jiulize kwanini Gesi ilitoka kwa Vifarru?
Halafu jiulize kwanini Mrahaba wa juzi juzi wa KOROSHOW ulitoka kwa Vitisho vya Mitama ya JWTZ? Nenda na CV ujaribu Dangote pale uje na mrejesho
Ikitokea wakapata Dhahabu kama iliyopo Nyamongo kule Tarime hakwanani mwisho wetu Kibiti sio wa CUF wala wa CCM wakiamua lao wameamua sio maslahi ya Taifa bali Corridor yao. Anyway msalmie Nappe
Tatizo la watu wa Corridor hawatak mbegu za kichaga wizi wizi,chinga wako real sana
 
Ni katika mizunguko ya hapa na pale katikati ya Jiji nikakutana na huyu mama.

Nikampiga jicho mara tatu. mama bado chuma kabisa. she is a mother. so cool. reading between lines mama amejaa hekima sana na kwaa kweli Baraza la Mawaziri la Jamhuri linamuhitaji.

Kama awamu ya tano imemuweka kando tuseme ishaallah Awamu ya Sita imurudishe Barazani mapema tu.
Madudu yaliyofanyika akiwa tamisemi, ulikuwa mnufaika?
 
Back
Top Bottom