Leo nimepata bahati ya kukutana na Bi Hawa Ghasia

Adui mkubwa wa maendeleo ya nchi yetu ni watu design hii, na thinking za aina hii, so dummy...
Mkuuu hao Southern Corridor waskie tuuuuuu!
Jiulize kwanini Gesi ilitoka kwa Vifarru?
Halafu jiulize kwanini Mrahaba wa juzi juzi wa KOROSHOW ulitoka kwa Vitisho vya Mitama ya JWTZ? Nenda na CV ujaribu Dangote pale uje na mrejesho
Ikitokea wakapata Dhahabu kama iliyopo Nyamongo kule Tarime hakwanani mwisho wetu Kibiti sio wa CUF wala wa CCM wakiamua lao wameamua sio maslahi ya Taifa bali Corridor yao. Anyway msalmie Nappe
 
Sasa wewe kukutana nae tu unaita bahati Mume wake aliyenae kila siku aseme nini ?
 
Back
Top Bottom