Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Kuna dem nilikuwa nae siku 1 nilienda dry kesho yake jioni nikikojoa chuma inauma nikasema tayari gono hili ikabidi nimfate ila sikumkuta nikazama ndani ile kupekua kwenye mkoba wake ninakutana na njugu mawe pamoja na kadi ya kuchukulia hizo njugu aisee nilitetemeka yaani anaukimwi na gono juukama nyongeza🥶🥶....ilibidi nijipeleke mwenyewe hospitali nikatoa maelezo pale nikapewa njugu za siku 28 aisee hizo siku 28 nilikonda huku najiona ila nashukuru nilimaliza nikarudi kupima ikawa fresh nikikumbuka nilizama mpaka chumvini kumbe kisima kinagono loh!! Ngojeni nikatapike kwanza narudi🏃🏃🏃🏃
Ulikuwa umelewa???
 
Sasa wa kitaa si ndio hao hao kwani wanaojiuza wanatokea Dunia nyingine? 😅😅😅😅😅
No. Huwezi kulinganisha demu yuko kwa ajili ya hiyo kazi tu kila siku zinapita hapo zaidi ya 6 x 3,3. Huwezi kulinganisha na demu umekutana nae njiani ametumwa sokoni kununua bidhaa arudi home chap.
 
... afadhali hata wewe, ... Mimi nimehudumia demu long time kinoma, gharama zaidi ya M1, na muda wote ananipiga chenga za danadana, ... sasa siku ananipa nikakutana na uvundo wa panya mfu SI NDO NIKAISHIA KIMOJA NA KUJIDHARAU!!!
ANYWAY SIKOMI! 😅
 
ndugu mdau, pole.

hata hivyo,
that's pure gonorrhea gentleman,
huna haja ya kusubiri na haukua na namna ya kukwepa hiyo kitu. Nenda hospitali moja kwa moja ukapate tiba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi hapo mbeleni,

Na gonorrhea ya sikuizi ilivyo kali, ukiichelewesha sana kuitibu, unaweza kujikuta hadi una kunya usaha mzito wenye harufu kali mbaya :NoGodNo:
AMEDAI ALIVAA CONDOM
 
gono haikwepeki gentleman hata uvae kondom, utaikuta imetangulia bafuni kwenye sabuni alioitumia mwenye gono au kwenye taulo alilotumia mwenye gono 🐒
... 'ata wakati wa kuvua hiyo condom hakikisha kwanza unaosha dude na condom yake kwa DETTOL MEDICATED SOAP kabla ya kuivua, VINGINEVYO USIJEISINGIZIA CONDOM KUVUJA! 😅
 
Nyege mbaya asee nimeamka asubuhi na nyege balaa nikaingia mtandaoni nikatafuta Malaya tukakubaliana 100k body to body massage na sex

Nikamuelekeza fresh akaja picha linaanza kajichora tattoo kinoma nikasema sio mbaya dah akanipiga massage ya uongo na Kweli na mafuta ya minara hapo tukaanza kusex (na kondomu) na yeye ndio alikuwa juu ila cha kushangaza tumemaliza Ile nimemwaga nikaona nimemwagikiwa na madude meupe kama usaha akadai kondom imepasuka wakati kimazingira haijapasuka na nikiangalia Ile kitu sio manii kabisa nikamwambia akavunga kamind mi mwenyewe muda huo nishatoka mchezoni nikampa hela yake akapita hivi imeniuma kinoma kuachia hela kizembe hivyo kisa nyege (nahisi kama nimerogwa hivi)

Sema kitu kinachoniumiza kichwa mpaka sasa ni hayo madude kama usaha Bado sielewi elewi ani wakuu
... hivi wewe kweli ni Kijana asiye na makuu ? 😎
 
... 'ata wakati wa kuvua hiyo condom hakikisha kwanza unaosha dude na condom yake kwa DETTOL MEDICATED SOAP kabla ya kuivua, VINGINEVYO USIJEISINGIZIA CONDOM KUVUJA! 😅
hakunaga muujiza wa kukwepa gonorrhea gentleman, unless ubaki njia kuu tu,

ukivuka boda tu umekwisha endapo umekutana na mchepuko wenye nayo 🐒
 
Back
Top Bottom