Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,586
Ogopa sana mtu asie na chembe ya aibu. Ogopa na usijaribu kuzinguana na malaya.Inategemea mmekutana eneo gani, kama nmekufata kweny location yake ndo Ingekuwa noma Ila kama amekuja napotaka mm Hawez kusumbua.