Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Nyege mbaya asee nimeamka asubuhi na nyege balaa nikaingia mtandaoni nikatafuta Malaya tukakubaliana 100k body to body massage na sex

Nikamuelekeza fresh akaja picha linaanza kajichora tattoo kinoma nikasema sio mbaya dah akanipiga massage ya uongo na Kweli na mafuta ya minara hapo tukaanza kusex (na kondomu) na yeye ndio alikuwa juu ila cha kushangaza tumemaliza Ile nimemwaga nikaona nimemwagikiwa na madude meupe kama usaha akadai kondom imepasuka wakati kimazingira haijapasuka na nikiangalia Ile kitu sio manii kabisa nikamwambia akavunga kamind mi mwenyewe muda huo nishatoka mchezoni nikampa hela yake akapita hivi imeniuma kinoma kuachia hela kizembe hivyo kisa nyege (nahisi kama nimerogwa hivi)

Sema kitu kinachoniumiza kichwa mpaka sasa ni hayo madude kama usaha Bado sielewi elewi an
i wakuu
Nenda Hospital kamipe kama vp uanze PEP
 
Yaani nasoma hii mada huku nina mzigo Wa PEP ndio nimeanza kuutumia leo Ila za Siku hizi sio Kali hazileweshi.
20260528_190241.jpg

Juzi Kuna demu nilienda kumla, kabla sijakojoa condom ilipasuka halafu uboo ulitoka na damu nyembamba. Kwa kweli nimeshindwa kuhimili mawazo ya nimenaswa au nimenusurika, ikabidi nifate mzigo Kwa hiari yangu mwenyewe.
 
Yaani nasoma hii mada huku nina mzigo Wa PEP ndio nimeanza kuutumia leo Ila za Siku hizi sio Kali hazileweshi.
View attachment 3596578
Juzi Kuna demu nilienda kumla, kabla sijakojoa condom ilipasuka halafu uboo ulitoka na damu nyembamba. Kwa kweli nimeshindwa kuhimili mawazo ya nimenaswa au nimenusurika, ikabidi nifate mzigo Kwa hiari yangu mwenyewe.
🤣🤣🤣🤣 The moment you knew you fucked up🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
ndugu mdau, pole.

hata hivyo,
that's pure gonorrhea gentleman,
huna haja ya kusubiri na haukua na namna ya kukwepa hiyo kitu. Nenda hospitali moja kwa moja ukapate tiba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi hapo mbeleni,

Na gonorrhea ya sikuizi ilivyo kali, ukiichelewesha sana kuitibu, unaweza kujikuta hadi una kunya usaha mzito wenye harufu kali mbaya :NoGodNo:
😄😄😄
 
😄😄😄
sio jambo zuri la kucheka, lakini inawia vigumu sana kujizuia kucheka kwakweli, dah!,

tujitahidi kuzuia na kudhibiti tamaa zetu za mwili ndrugu zango, vinginevyo tutaumia sana na hizi fedheha ndogo ndogo kama utia, gono, kaswende n.k , tunazonunua kwa pesa nyingi 🐒
 
Back
Top Bottom