Leo nimefanya mkutano wa tatu jijini Arusha. Sijazomewa

  • Thread starter Mwigulu Nchemba
  • Start date

S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 0
Mwigulu muogope muumba wako; Hivi unatufanya wana wa Arusha ni vipofu ? Huna uhalali wa kufanya kampeni Arusha ndo maana kampeni zako unaziendesha usiku kama mchawi. By ze way hapa siyo Iramba, Utaambulia aibu na huyo jamaa unaye mdhalilisha majukwaani kwa sababu ya njaa yake.
Kwa Mwigulu usimtaje Muumba, sema SHETANI! si umesikia Mbeya kaanzisha jeshi kwa ajili ya uchaguzi wa Udiwani? Si unaona anavyo mtembeza huyo jamaa majukwaani huku akijuwa kwamba dhambi ya kumwagia Tindikali ameitengeneza mwenyewe kwa kufikiri kwamba atawadanganya waTanganyika!!!

Na jamaa njaa ameamua kuweka kwenye ungo na hivyo kukubali kunadiwa majukwaani kama Kinyago.
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,490
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,490 2,000
Nchemba ni mjanjamjanja sana
piga kampeni hiyo trh 16 ndiyo
tutajua:-

Ile kauli ya Mbuzi Karanga Wauzaje ?
Mjini wanasema ..........
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Points
2,000
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 2,000
Mwigulu Nchemba mimi ni mwana CCM damu na sioni haya kusema kwamba naipenda CCM toka moyoni mwangu, lakini bwana kaka wewe ni miongoni mwa watu wachache sana ambao mnanikera ndani ya CCM.

NAOMBA NIKWAMBIE WAZI
nakerwa na wewe kujisifu na kujigamba ilihali siasa inataka facts na siyo majigambo
nakerwa na wewe kumdhalilisha kijana mlemavu jukwaani kana kwamba hujui haki za binadamu,,,,,,,,,yaani ulimfanya kinyago cha mpapure ambacho kiko dukan kinasubiri mteja
nakerwa na wewe kushinda unapoteza muda wako hapa jf kunadi upuuzi badala ya kuongelea mambo ya msingi. kwangu mm uzomewe usizomewe hyo siyo ishu ila tunaaka tujue umezinadi vipi sera na ccm?? je umekutana na changamoto zipi wewe kama mdau wa ccm ulipokuwa kwenye kampeni?? je wafikiri utashawish vipi viongozi wenzako ili ccm yetu ibaki kuwa imara?? sasa wewe kuja na hoja sijazomewa kwani huko arusha ulitumwa kwenye mtihan wa kuzomewa?? sijui kama kuna tuzo za mtu ambaye hajazomewa kisi kwamba umekuja jf kutaka tukupigie kura kwamba umezomewa ama la.

kimsingi hata mm ambaye sijawah kupanda majukwaani naweza nikawa mnadi mzuri wa sera za ccm kuliko wewe. jifunze siasa ni nini na siyo siasa za ujuha.
 
Last edited by a moderator:
L

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Messages
518
Points
195
Age
32
L

Luthar

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2011
518 195
Kweli hili chemba nilaajabu maana kuna huyo mtu sijui kamtoa wapi njaa kali kamfanya dili naona anatafuta fadhila kwa kupitia huyo wanayesema eti chadema walimwagia tindi kali sasa na muuliza kama inajulikana cdm ndiyo walimdhuru huyo kijana huku kwenye siasa ndiyo mahakamani hapa tulipofika hakuna wakudanganywa tunaelewa nini kinachoendelea kuna msemo unasema ukiona elimu ni ghali basi jaribu ujinga naona mwigulu ndiyo ujianga kauona unafaa salamu kwa wana arusha nibora uondoke maana uchaguzi kata zote zinachukuliwa na chadema utaondoka na fedhea
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Points
1,195
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 1,195
Nyoo nyie macdm. Eti kazomewa, mnaongopea umma cdm achen uzushhhhh
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,133
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,133 2,000
Lameck Mkumbo angalia sana acheni kumdharirisha kijana wa watu kwenye majukwaa tindikali mumwagie then still mnamsubua mwacheni apumzike msitumie ufinyu/upeo wake mdogo kutafuta huruma za raia wa atown.
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 0
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
mwigulu unakumbuka ulivyokimbia arumeru? Hakymungu naapa aibu ile utaipata na arusha tena, hapo sio iramba, usifanye mchezo na hao watu! Umesema mwenyewe tarehe 16. Tunaomba usikimbie bila kuaga A town!
 
Totalman

Totalman

Member
Joined
May 30, 2013
Messages
40
Points
95
Totalman

Totalman

Member
Joined May 30, 2013
40 95
Kwanza pamoja na kwamba ataondoka usiku kukwepa aibu ya matokeo, namtaka huyu kibaraka wa ccm ajue kwamba hapa AR watu wamefunguka hata weza kamwe kufanya ule mchezo mchafu wa kuwarubuni wapiga kura. CCM ni janga la Taifa na mwisho wake umekaribia
 
Brooklyn

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
1,461
Points
1,225
Brooklyn

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
1,461 1,225
Umefanya mkutano au umehubiri majungu na matusi na kumdhalilisha kijana wa watu unayemtembeza majukwaani kwa maslahi yako kisiasa.

Mbona hujajibu tuhuma za kuagiza kambi ya green guard iundwe kule Mbeya na kufanya jaribio la kuteka viongozi wa CHADEMA jana?

Green guard wanaendesha mafunzo,polisi wanaona kawaida.Sasa itabidi tujilinde kwa kutumia Red Brigade!Siasa zenu za kihuni tutazikomesha
We jamaa unaongeaga pumba balaa.
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,416
Points
2,000
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,416 2,000
Hata ulivyofumaniwa pale Igunga ulikanusha kuwa hujafumaniwa,,,

Hata ulipowadhalilisha wanawake kupitia account yako ya Facebook uliibuka na kudai wame_hack,,,

We ni perfect hauna mapungufu, mapungufu yako kwa watu wengine,,
 
Meitinyiku L. Robinson

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Messages
412
Points
0
Meitinyiku L. Robinson

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2011
412 0
Umefanya mkutano au umehubiri majungu na matusi na kumdhalilisha kijana wa watu unayemtembeza majukwaani kwa maslahi yako kisiasa.

Mbona hujajibu tuhuma za kuagiza kambi ya green guard iundwe kule Mbeya na kufanya jaribio la kuteka viongozi wa CHADEMA jana?

Green guard wanaendesha mafunzo,polisi wanaona kawaida.Sasa itabidi tujilinde kwa kutumia Red Brigade!Siasa zenu za kihuni tutazikomesha
We nawe as the days goesby unazidi kuwa punguani! Nadhani kuna tatizo linalokuvizia kichwani'
Siasa za Arusha si za kiBavicha sasa its all about maturity'
 
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Points
1,250
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 1,250
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
mara ya mwisho kukiri ukweli ilikuwa mwaka gani vile? nasikia ilikuwa kabla ya kuifahamu ccm!
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 0
Mwigulu Nchemba unajuwa we ni kiongozi kwenye jamii

sasa unapokuja na mabandiko hapa JF unamaanisha hauna uhakika na uongozi wako, Fanya kazi yako kama kiongozi acha kuleta uchafu wako huku kwenye mitandao
hujamtendea haki mkuu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, ni haki yake kufanya lile analoona linafaa kama kiongozi!
 
Last edited by a moderator:
D

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
853
Points
225
D

deecharity

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
853 225
Huyu jamaa nikiona post yake huwa nachefuka kama nimeona ki..e.I
 
D

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
853
Points
225
D

deecharity

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
853 225
Huyu jamaa nikiona post yake huwa nachefuka kama nimeona ki..e.i
 
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
5,536
Points
1,195
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
5,536 1,195
Mwigulu muogope muumba wako; Hivi unatufanya wana wa Arusha ni vipofu ? Huna uhalali wa kufanya kampeni Arusha ndo maana kampeni zako unaziendesha usiku kama mchawi. By ze way hapa siyo Iramba, Utaambulia aibu na huyo jamaa unaye mdhalilisha majukwaani kwa sababu ya njaa yake.
Wewe toka lini ukawa mwanaArusha. Muugope Muumba wako kwa kuja hapa na spinning za kiongo.

You're not in Arusha and You never live in Arusha.
 
K

KWELI TUPU

Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
54
Points
0
K

KWELI TUPU

Member
Joined Mar 17, 2012
54 0
We ------ si umezomewaaaaaa, unabisha nini? acha usengeeee.. unakuja kudanganya wanaume kweupee... Hilooooooooooooooo
 

Forum statistics

Threads 1,283,529
Members 493,720
Posts 30,793,006
Top