Leo nimefanya mkutano wa tatu jijini Arusha. Sijazomewa

Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.

Jf sio mahali pa kutoa takwimu za mikutano yako uliyofanya,hayo kamueleze bosi wako Kinana.Eleza umefanya nini kupunguza au kuondoa umasikini jimboni kwako ili watu wapate cha kujifunza kama ni idea nzuri
 
Acha kuleta propaganda zako hapa.
Wewe kila siku unasema tukabiliane na CCM, Tupigane nao na tujilinde huku ukiambia wenzako wawe mstari wa mbele lakini cha ajabu katika misukosuko yote ambayo viongozi, wanachama na wapenzi wameisha pata since 1992 hujawahi hata mara moja kukamatwa achilia mbali kujeruhiwa.

There's something FISHY in you ikichukuliwa wewe ndiyo huwa wa kwanza kwenda mahakamani kushuhudia kesi za viongozi, wanachama na wapenzi wa CDM huku ukirusha LIVE kutoka mahakamani.

Kama kweli una msongo wa kuipigania CDM, kwa nini hujawahi hapa kukamatwa, kupigwa au kupelekwa mahakamani?.

Hii tetesi za u-DOUBLE AGENT kukuhusu wewe inawezekana zikawa ni kweli.

Ha ha lazima povu likutoke...na bado!
 
Kumbe unakiri arusha ni watu wastaarabu hawazomei wala hawakurupuki?peleka hiyo elimu makunda,kinampanda,simbalungwala,ruruma,kisasida na kwinginepo.na suairia majibu tar 16.
 
Huyu anasema hakuzomewa wengine wanadai kazomewa,lakini kuandaa group la kuzomea ni rahisi sana.kwahiyo sio issue.
 
Duh!

Kama hili ndio jembe la MAGAMBA basi CCM imekwisha!!!
Acha CCM tuishe. Endeleeni na ninyi kuishi.

Hatuwezi kunyamaza kuusema ubaya wenu. Tutaendelea kutoa darasa kila tukipata muda wa kufanya hivyo.
 
Ajifunze basics za kuandika. Hakuna full stop kwenye headline.

Hawa watu sijui vipi!
Katika yote wewe umeona basics za kuandika.

Kila mara mabandiko ya Dr. Slaa hapa huwa yana makosa ya spelling kibao lakini mbona hatujakuona kukosoa?

First remove the beam from your own eye, and then you can see clearly to remove the speck from others.

This is pure hypocrise.
 
Ha ha lazima povu likutoke...na bado!
Endelea kuwachuuza hao wajinga na wapumbazi wa kisiasa.

Povu litawatoka hao una wachuuza.

You're always fighting for nothing kwa sababu kama kweli ungekuwa pure fighter, ungekuwa angalau umeisha pata msukosuko hata mmoja.

You're just good for doping people and good at keyboard in your bedroom.
 
Wana Arusha mmejipangaje kulinda kura? Mwigulu amebobea kucheza na masanduku ya kura.
 
Mwigulu Nchemba
Hauna hata haya mtumwa weee!

Huo mkumbo wa hapo Kaloleni unaogopa kuusemea?
Huku tuna uhuru wa kusema na subiria youtube yako utajionea ulipokuwa unakumbana na hilo hekeheke!

Eti sijazomewa! Mjinga nini wewe Mwigulu Nchemba!

Tupieni kapicha au kavideo jamani au zomea hiyo mheshimiwa alikuwa anajua anashangiliwa?
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu muogope muumba wako; Hivi unatufanya wana wa Arusha ni vipofu ? Huna uhalali wa kufanya kampeni Arusha ndo maana kampeni zako unaziendesha usiku kama mchawi. By ze way hapa siyo Iramba, Utaambulia aibu na huyo jamaa unaye mdhalilisha majukwaani kwa sababu ya njaa yake.

katka upuuzi unao ni shangaza ni jamaa anae tembea na kuonyeshwa kwenye majukwa na mwigu adhiifu ni katuni....sio kitu kizuri, mwigulu ajenge hoja sio kufanya hupuuzi huo
 
Mwigulu ni mratibu wa siasa chafu hapa nchini....kila anachofanya ni ukiritimba na hu goigoi....
 
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Acha uwongo mimi nilikuwepo kwenye mkutano na nilikuwa kati ya wazomeaji maana unaongea pumba...tena nakuzomea na hapa iloooooooooo....----- hilooooooo.......licchawi hilooooooooooo......liuaji hilooooooooo...sura mbaya hiloooooooooooo.......kubwa jinga hiloooooooooo....limwenda wazimu hilooooooooooo......mtu mzima ovuo huyoooooo......umekuwa kiumri ila akili yako yakitoto hiloooooooooo.......ling'oa watu kucha na meno bila ganzi hilooooooooo tulizomeeee hilooooooooooooool!
 
Hongera mkuu nilikuwepo leo endelea watanzania wako nyuma yako na wanaimani na wewe jitahidi kuendelea kuwatumikia kwa utii na unyenyekevu.
 
Acha CCM tuishe. Endeleeni na ninyi kuishi.

Hatuwezi kunyamaza kuusema ubaya wenu. Tutaendelea kutoa darasa kila tukipata muda wa kufanya hivyo.

Kiongozi!

Hivi kuna ubaya uliozidi ubaya wa CCM? Yaani usitake kijifariji. Maana hapo ndio ghala la ubaya lilipo.

1. Wizi wa mali za umma - CCM
2. Elimu duni - CCM
3. Huduma mbovu za afya - CCM
4. Kifo cha Reli ya Kati na TAZARA - CCM
5. Mauaji ya Tembo na kusafirisha wanyama wetu nje ya nchi - CCM
6. Ufisadi - CCM
7. Mikataba mibovu - CCM
8. Wabunge kutokuwa watetezi wa wananchi - CCM
9. Viongozi wa serikali kuzurura nje ya nchi bila tija - CCM
10. Kushangaa maendeleo ya nchi za wenzetu - CCM
11. Kutembeza bakuli la UMATONYA duniani - CCM
12. Na mazagazaga mengine utajaza mwenyewe ...............
 
Back
Top Bottom