Leo nimefanya mkutano wa tatu jijini Arusha. Sijazomewa

  • Thread starter Mwigulu Nchemba
  • Start date

O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,484
Points
2,000
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,484 2,000
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Mbona unajistukia we N..Chemba la c.h.o.o
 
chelsea fc

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
834
Points
225
Age
43
chelsea fc

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
834 225
wewe ndio unachangia CCM idondoke!wewe ni janga!
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 0
Nilijua tu jembe letu litaibuka kuclear uzushi ulioenezwa humu washambenga
haaa, jembe la iramba kwa ajili ya wanyiramba, kazi yake ni kugawa chumvi na kanga, na matusi kama ndugu yake lusinde!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,927
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,927 2,000
Ndugu zangu Watanzania hawa ndio aina ya viongozi wenu...
Wanajipima utendaji wao kwa kelele za wananchi...
Imani ya mtu huyu ni kwamba kama hujazomewa basi unakubalika...
Na zaidi sio kukubalika tu bali hata kazi ya mikono yake inakubalika...
Hii sio sawa, bali ni aina mojawapo ya utapeli na ulimbukeni...
Watanzania msikubali kuendeshwa na watu wa namna hii maana ni aina ya viongozi wa msimu...
 
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
403
Points
195
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined Jul 26, 2011
403 195
Nilikuwepo maeneo ya Mianzini na umezomewa sana.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,149
Points
1,250
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,149 1,250
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Whether umezomewa au hujazomewa, lakini mimi nakuonya uache kumdhalilisha yule kijana mliyemmwagia tindikali kule Igunga, na kuanza kumtembeza kama kinyago kwenye mikutano eti huo nao ni mtaji wenu kisiasa? Hammutendei haki kabisa yule kijana japo ni maskini. Kama mnataka kumpa kazi ya kampeni, mpeni lakini si kupita kwenye kila mkutano nchi nzima mkimdhalilisha kutokana na ulemavu mliousababisha wenyewe. Ni nani asiyewajua CCM kwa mbinu zenu za kuwatuma polisi waue kwenye mikutano ya CHADEMA ili mpate mtaji wa kisiasa kwamba CHADEMA wameua? Yaani mkiwa mnatafuta kura roho ya utanzania huwa inawatoka kabisa, badala yake mnatumia nguvu nyingi tu kuhakikisha mnashinda bila kujali mnawaachaje watanzania mara baada ya uchaguzi. Ni spirit hiyo hiyo ndiyo imepelekea nchi kuingia kwenye udini. Hebu wekeni maslahi ya nchi mbele kwanza kabla ya kujifikiria ushindi wetu peke yake.
 
Kilaga

Kilaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Messages
2,096
Points
2,000
Kilaga

Kilaga

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2013
2,096 2,000
Mwigulu kubali tu yaishe, siku zinalingana tu lakjini hazifanani! Kila sehemu in sifa na haiba yake. Singida ni tofauti na Arusha, kigoma ni tofauti na Singida na Mwanza ni tofauti na Tabora n.k.
 
M

manucho

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
3,408
Points
1,195
M

manucho

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2012
3,408 1,195
Unamwambia nani ili iweje, wewe ni nani na unataka nini?
Au una matatizo ya Akili?
 
BJEVI

BJEVI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
1,359
Points
1,195
BJEVI

BJEVI

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
1,359 1,195
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
........mwigulu.mwigulu,mwigulu,ungekuwa na hekima na busara,ungefanya kampeni za kistaarabu.Siwezi kukutofautisha na kobe juu ya mti,huwezi kupanda wala kushuka.Kwa kifupi nenda shule.......................
 
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Points
1,250
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 1,250
Mwigulu Nchemba mimi ni mwana CCM damu na sioni haya kusema kwamba naipenda CCM toka moyoni mwangu, lakini bwana kaka wewe ni miongoni mwa watu wachache sana ambao mnanikera ndani ya CCM.

NAOMBA NIKWAMBIE WAZI
nakerwa na wewe kujisifu na kujigamba ilihali siasa inataka facts na siyo majigambo
nakerwa na wewe kumdhalilisha kijana mlemavu jukwaani kana kwamba hujui haki za binadamu,,,,,,,,,yaani ulimfanya kinyago cha mpapure ambacho kiko dukan kinasubiri mteja
nakerwa na wewe kushinda unapoteza muda wako hapa jf kunadi upuuzi badala ya kuongelea mambo ya msingi. kwangu mm uzomewe usizomewe hyo siyo ishu ila tunaaka tujue umezinadi vipi sera na ccm?? je umekutana na changamoto zipi wewe kama mdau wa ccm ulipokuwa kwenye kampeni?? je wafikiri utashawish vipi viongozi wenzako ili ccm yetu ibaki kuwa imara?? sasa wewe kuja na hoja sijazomewa kwani huko arusha ulitumwa kwenye mtihan wa kuzomewa?? sijui kama kuna tuzo za mtu ambaye hajazomewa kisi kwamba umekuja jf kutaka tukupigie kura kwamba umezomewa ama la.

kimsingi hata mm ambaye sijawah kupanda majukwaani naweza nikawa mnadi mzuri wa sera za ccm kuliko wewe. jifunze siasa ni nini na siyo siasa za ujuha.
hv unajua gfsonwin nakuheshimu sana, ila eti wewe ni damu moja na lile lidubwasha la mafisadi naona unanitesa sana!
 
Last edited by a moderator:
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
6,929
Points
2,000
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
6,929 2,000
Hivi wewe Kabinti unamlengo gani mbona cjawahi kuona post yako ikiunga chochote na kupinga kila kitu na vyama vyote unavipinga unda chama ili uwe unakiunga mkono
 
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
5,536
Points
1,195
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
5,536 1,195
Umefanya mkutano au umehubiri majungu na matusi na kumdhalilisha kijana wa watu unayemtembeza majukwaani kwa maslahi yako kisiasa.

Mbona hujajibu tuhuma za kuagiza kambi ya green guard iundwe kule Mbeya na kufanya jaribio la kuteka viongozi wa CHADEMA jana?

Green guard wanaendesha mafunzo,polisi wanaona kawaida.Sasa itabidi tujilinde kwa kutumia Red Brigade!Siasa zenu za kihuni tutazikomesha
Acha kuleta propaganda zako hapa.
Wewe kila siku unasema tukabiliane na CCM, Tupigane nao na tujilinde huku ukiambia wenzako wawe mstari wa mbele lakini cha ajabu katika misukosuko yote ambayo viongozi, wanachama na wapenzi wameisha pata since 1992 hujawahi hata mara moja kukamatwa achilia mbali kujeruhiwa.

There's something FISHY in you ikichukuliwa wewe ndiyo huwa wa kwanza kwenda mahakamani kushuhudia kesi za viongozi, wanachama na wapenzi wa CDM huku ukirusha LIVE kutoka mahakamani.

Kama kweli una msongo wa kuipigania CDM, kwa nini hujawahi hapa kukamatwa, kupigwa au kupelekwa mahakamani?.

Hii tetesi za u-DOUBLE AGENT kukuhusu wewe inawezekana zikawa ni kweli.
 
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
6,941
Points
2,000
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
6,941 2,000
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Kwa akili hii ya utawala ni hatari,
kuwa makini si vyote vinavyosemwa ni lazima ukanushe na kupiga kelele, sometime pita kama msomaji tu utajijengea heshima!

Kwa nn hujifunzi ndg unawaangusha hata wenye mapenzi mema na CCM!

akili kama hii ni hatari hata katika utawala.

Poor management knowledge!
 
lutayega

lutayega

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
1,253
Points
1,225
lutayega

lutayega

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2012
1,253 1,225
Kwa hiyo unamaanisha we ni zaidi ya mwenyekiti wako ambaye amesha zoea kuzomewa
 
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
2,374
Points
1,225
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
2,374 1,225
Yaani ulienda kufanya mkutano ukitegemea kuzomewa? Kweli wewe na CCM yako hamnazo. Kiongozi unategemea kuzomewa ina maana unajua kuwa unaongea pumba
 
Paloma

Paloma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2008
Messages
5,336
Points
1,195
Paloma

Paloma

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2008
5,336 1,195
Yani ovyo kweli! Unajitapa sasa au? Badala ya kuleta uzi wenye tija unaleta mambo ya kuzomewa! Rubbish kabisa!
 
M

Mr.Busta

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
672
Points
195
M

Mr.Busta

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
672 195
Haya haujazomewa ulikuwa unatakaje?hebu kale panzi we mnyiramba ulale
 

Forum statistics

Threads 1,285,265
Members 494,502
Posts 30,856,043
Top