Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,057
kipindi kinarudiwa jumatatu mida kama ya saa nane na ijumaaa mida ya saa 8 pia
Ndio kinarudiwa hapa sa hv wakuu..
Utupe muhtasari ukimaliza kukiangalia...please!
Nyani Ngabu...njoo usome hapa afu utoe maoni yako ukizingatia pia vile vipaji vyetu vya Mzumbe,Ilboru,Kibaha na kadhalika.
Naambiwa dogo ni drop out wa form two.
Kufaulu mtihani wa taifa si kipaji maalumu.
aiseh kwaiyo kuchati chati mno kuna maliza akili ya kufikiri mambo mengi duhu apo mbona pagumu
Kama suala ni vipaji, vipaji vipo vingi sana kibongo bongo tatizo ni namna ya kuviendeleza
SwadaktaaaHata namna ya kuviendeleza nayo yahitaji vipaji. Haishushwi tu toka mbinguni.
Kama suala ni vipaji, vipaji vipo vingi sana kibongo bongo tatizo ni namna ya kuviendeleza
Aisee huyu dogo ni talented sana kwa kweli. Nitaleta mrejesho mkuu.