The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
EATV hawaweki vipindi youtube? Maana wengine saa sita tupo kwenye mishe za kusaka noti.
Ingekuwa poa sana! saa sita mida mibovu
Vitu alivyovisema:-Lakini pia inaonyesha anasoma sana vitabu.
Natafuta number ya zebwela niiweke hapa kama utaona vipi tumuombe next Sunday akirudie maana huyu dogo anavyoongea hutachoka kumsikiliza anaonekana ni mtundu kinoma
Anasema kuna lile shindano la mengi ameshapeleka wazo lake mara nyingi hajashinda na anadhani anakosa kwasababu anaandika kiswahili ila likibuma yeye huwa anakuja kulifanyie yeye mwenyewe
Thanks, sasa tutawapigia.+255222775914
Hiyo number ya ITV ya zebwela nimeikosa natamani ningekuwa na uwezo ijumaa ningewarekoria kipindi nikiweke hapa