Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

MIMI NAMUUNGA MKONO KWA THATI KIRANGA KATIKA KUPINGA KUWEPO KWA MUNGU.
Ninauhakika kwamba Kiranga atakubaliana na mimi katika kuisidia jamii kuelewa mahadhara ya kuweka mbele imani ya mungu, uchawi, na miujiza yeyote. Hivi ni vitu ambavyo vinaturudisha nyuma kimawazo, kimaendeleo, na kuhatarisha amani nchini na duniani kote.

Sawa mkuu endelea tu kumuunga mkono ila mimi naamini MUNGU yupo na wala sina shaka na hilo.
 
Haya maneno yako yamenivuta kwa kiasi fulani hivi
mpe tu hongera zake ila ukianza kuanzisha mada atheist jamaa akija tutakesha hapa...

Heri ya mwaka mpya mkuu kiranga uwa nafurahishwa sana mada zako, nahisi ndio umenifanya niwe napita pita jukwaa la intelligence...
 
Happy birthday mkuu Kiranga
Hivi unatambua kuwa ni Mungu amevusha mpaka sasa
Je wajuakuwa wazazi wako wamehusika vya kutosha kukuleta duniani
Je umeshawashukuruje wazazi wako?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe nao GOD haters wanasiku yakuzaliwa, kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom