Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Happy birthday kiranga.... Mshkuru Bwana MUNGU WAKO kwa kukulinda miaka yote
 
Hongera kwa kuadhimisha miaka kadhaa ya kuishi ktk ulimwengu huu.
 
Umetimiza miaka mingapi au ndio kama bongo movie na watangazaji utasikia katimiza miaka kadhaa! pamoja kiranga happy birthday. Maskhara usiichukulie kivile.
 
Umeagalia vizuri mada ukabain iliandkwa mwaka gani?
 
Una hakika gani ulizaliwa tarehe na mwezi kama huo.
Thibitisha mkuu Kiranga
hapo tu.
 
Last edited by a moderator:
Angalia JF records.

Vizuri..
Umenielekeza niangalie record hm jf,ili kuthibitisha lini umezaliwa..haya tumalize hapa ivi...
Ili kujua Mungu yupo.angalia matukio katika Biblia.
 
I refuse to derail this thread, mambo ya mungu peleka kwenye thread ya mungu.

And that is all I have to say on the matter.

No birdbrained burlesk of a bumpkin is to bump this block.
 
happybirthday...sijuagi we ni mwanaume au mwanamke..na hainisumbui..ambacho sikipendi ni ukaidi wako...na ukorofi wako kama vile unakaa sayari ya tee garden.

ila MUNGU Akubariki na kukulinda,akujalie fadhili zake na kukupenda uishi miaka mingi mpaka uukubali ukweli
....
 
Ukaidi na ukorofi wa huyu bwana ni upi?
 
Back
Top Bottom