Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Vijana wa mikoani bwana, vitu vidogo unaumia roho utadhani wewe ndie mmiliki! .......kule kijijini kwenu wanajisaidia vichakani na kujisafishia majani.
Huko ndipo wanahitaji elimu.

Anyway dustbin zimejaa na hazikuandaliwa ku-accomodate hiyo population.
 
Tatizo la waekezaji...

Wameweka Mlimani City moja tuu miaka yote hiyoo...

Hivi hakuna muwekezaji anayetaka liwekeza Moli huku Mbagala kwetu ili sikukuu tuache kwenda kuwachafulia Moli yao....

Halafu muwekezaji mwingine awekeze swimming puli kubwaaa hukuhuku Mbagala tuache kwenda coco bichi kubakwa na wakodisha matairi khaa....!

Wawekezaji tafadhali mkuje Mbagala.
 
Quality plaza inakufa kibudu, ipo karibu na mbagala, si muende huko?!
 
Back
Top Bottom