Wanawake fungukeni, tunza mwanaume wako. Maombi ni kutiana moyo tu

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Wanawake tunajua mnatuombea sisi wanaume wenu, tunajua mnatupa ukakasi sana nakutupiga mizinga ya hapa na pale ili akili zetu zi chemke kusaka kibunda ila punguzeni basi.

Wanawake ndoa haijegwi kwenye nyumba za ibada , mapenzi haya jengwi kwenye nyumba za ibada mapenzi ni chumbani kwako

Wanawake mkitaka mtuweze kama vile delila alivyo muweza samson njoeni hapa mchukue madesa..

Wanawake pointi hizi hapa msiseme hamkuambiwa

1. Ukiamka cha kwanza ni kusafisha kitanda..

Inashangaza sana kuona baadhi ya wanawake wapo rafu sana chumbani ,kitanda kimejaa manguo ,kipo hovyo hata hapatamaniki, kitanda ana ruhusu watu hovyo hovyo kukikalia bila utaratibu ndugu mwanamke hakikisha kitanda chako kama sehemu kuu inayootumika kwenye kukamilisha neno ndoa kipo teyari wa kati wote,


kitanda kinaweza kikawa mkeka, zulia, sakafu , boksi, godoro tupu , meza au popote pale ambapo mnaweza mkanyanduana hakikisha vipo vizuri na safi wakati wowote ule

2. Kusafisha mwiko baada ya kusonga ugali.

Wanawake mkae mkijua kwamba mwiko unaosemwa hapa sio huo wa kawaida unaopikia wali, kukorogea uji, makande au kusongea ugali,

mwiko unao ongelewa hapa siyo mwiko unaoutumia kumchapia mtoto mjeuri unapo mtuma sokoni , wanawake hapa tunaongelea mwiko wa nyama au mguu wa tatu.

Hakikisha mnapo maliza kusonga ugali wenu wewe na mwanaume wako basi huu mwiko una uweka katika mazingira ya usafi, uoshe vizuri na kama kuna upatikanaji wa maji ya kutosha pia ufute vyema na kuuhifadhi sehemu safi , hakikisha vihifadhio (mavazi) vya huu mwiko ni visafi muda wote

Kusafisha mwiko baada ya kusonga ugali wanaume tuna enjoy sana ni vile hatusemi, jiongezini wadada

3. Kuandaa nazi kabla ya kuikuna.

Nyie wadada tunawapenda sana ila kaeni mkijua kwamba nazi ni kiungo kinacholeta ladha katika chakula kwa harufu na utamu wake murua

Hivyo hivyo tunajua na tuna amini kwamba nazi inatolewa nyuzi kisha ina oshwa ndio inapasuliwa na kukunwa vizuri sana ili upate utamu wake.

Ewe mwanamke wa 50/50 na wasio fungamana na upande wowote ili ufike kilee cha mlima kilimanjaro lazima na wewe ushiriki kukuna nazi hivyo hakikisha kabisa mwanamke kunyoa kipochi na kuosha vizuri papuchi yako kabla ya tendo.

4. Kuosha kinu na mchi mara baada ya kuutumia.

Wanawake eleweni kwamba baada ya kutwanga viungo vyako lazima kinu na mchi uliotumia kutwangia uuoshe kwa maji safi na salama kabisa , na hapa najua wote mmeelewa kinu na mchi ni nini kwa wale wasio elewa watakua ni under 18

5. kulima na kupalilia shamba la mumeo pamoja na kumkata kucha.

Hapa hakikisha una mnyoa vizuri mumeo na kupalilia vyema maeneo yote yanayo zunguka mti wenye matunda mawili, kua makini wakati wa kumnyoa usimkate .

Ila wanaume wenzangu ikitokea wanawake zetu wametukata tuone basi ni makosa ya kibinadamu na hawajakusudia maana wengine akili zao wakishika mguu zinakua mbali.

Hakikisha mumeo kucha zake ni fupi muda wote na teyari kwa lolote lile akihitaji kukupima oil, siyo una muacha mumeo na makucha kiasi kwamba akitaka kucheck oil unaanza kutetemeka huku unazuia kipimio kisifike vizuri


6. kuwa tayari kwa mapambano muda wote.

Wanawake acheni kutukausha damu, acheni kutupiga mizinga na acheni kufikiria kuchomekwa na kupiga mzinga.

Ewe mwanamke kuwa teyari muda wowote kiakili na kisaikolojia ili tuweze kufika kwa pamoja kilele cha mlima mrefu kwa furaha na bila kuzozana au kuumizana kimwili na kihisia.

Wanawake acheni kutubania , acheni kutumia kipochi manyoya kama duka na silaha ya kumchuna na kumuadhibu mwanaume.

7. Linda silaha za kumwangamiza mumeo uwapo na maadui

Maaduni ninao wasemea hapa ni hao vijana/ wanaume wa huko nje, wanawake mnazunguka kila mahali na tunajua mnatongozwa na kutamaniwa sana.

Mwanake usiwe wa bei rahisi, acha kuvaa nusu uchi sitiri maungo yako usionyeshe wengine hayo ni ya mwanaume wako utamuonyesha yeye peke yake huko chumbani

Acha kutoboa toboa na kuchora chora tatoo silaha za mumeo hovyo hovyo ziache katika mazingira ya asili na kama ni urembo weka kwa kiasi sana kumbuka ukizidisha unakua kituko au mdoli mbele ya mwanaume wako , jirembe kwa wastani tuu inatosha

8: Msiombe ombe hela sana mnatupunguza nguvu za kiume kwa makusudi

Kuomba omba sana hela kunatufanya test ya kihisia na nyie wanawake wetu inapungua na hapa tunaona kabisa ni chuma ulete

Wanawake tunajua ni wajibu wetu kuwatunza wanawake zetu ila na nyie basi acheni kupiga mizinga sana , siyo kila saa una taka hela , mara ukijibiwa na mwanaume hela hamna unajinunisha na kumsusa .

Acheni kua omba omba jitofautishe na kizazi cha mizinga, acha uongo uongo ili upate hela.

Ela zipo na tunazipata katika mazingira magumu sana ila tutawapa kwa hiari yetu na sio kwa kutulazimisha.

Wanawake mkumbuke pia hela mwanaume anayotoa kwa hiari yake inakuja na baraka tele mikononi mwako

Natumaini sasa mtajifunza vyema

ONYO: WANAWAKE MLIO UMIZWA KWA UZEMBE WENU WENYEWE NA KUJIKATIA TAMAA ZA KIMAHUSIANO NA MAISHA MSIWAHARIBU MABINTI WA DOGO CHIPUKIZI ,SISI TUNAONA MNAVYO WAHARIBU WENZENU ACHENI HARAKA
 
Back
Top Bottom