tandale

Tandale is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 45,058.

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mwanetu anazibonda sana kama Tandale

    Drake ameendelea kuwa na mwaka bora baada ya kufikisha streams bilioni 15 kwa mwaka 2026 pekee kupitia mtandao wa Spotify kupitia nyimbo zake zote kwa mujibu wa ripoti ya @records. Jambo ambalo linalomweka katika nafasi ya kuweka rekodi ya mwaka wenye mafanikio makubwa zaidi ya usikilizaji wa...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ungana na Mimi mwamba aliye muoa Amina wa Tandale, Demu wa Ally Dreva Boda boda

    Msomaji ungana na Mimi kumtukana huyu Rich,MWANAUME shababi, mrefu mweusi, aliyejaa mbavu Nene, kijana AMBAE Mungu ameisha mfungulia milango ya riziki mpaka kuweza kumwamisha mama Mkwe kutoka tandale mpaka Mbezi salasala DSM. Rich, alikuwa na mazoea na Mama Amina, maana mama Amina alikuwa...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi wa mambo yasiyo wahusu Eti kati ya faly Ipupa na Simba wa tandale (Diamond platinum Madako masebu) Nani ana mkwanja mrefu?

    Nawauliza ninyi mnaojua mambo mengi ...Ni nani kati ya Faly Ipupa na Diamond platinum Madako masebu ana pesa mingi kuzidi mwenzie?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki

    Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wetu sisi Wa Iran weusi wa Tandale, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeomba uungwaji mkono na mataifa anatokea wapi?

    Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka Mbona tulishamdedisha? Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi? Nahitaji kufahamishwa, Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
  6. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

    Niaje waungwana Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi. Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya kimataifa haswa kuhusu mambo ya Iran, Israel, Marekani nk nafikiri mnanifahamu vizuri kwenye uchambuzi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jafo: Vingunguti, Tandale na Buguruni pavunjwe pajengwe Maghorofa

    Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wameamua kuwa masikini kama Wazee wa Kwa Tandale

    Inashangaza sana mawaziri wetu wameamua kuwa masikini, wanakili hawanakitu. Huu uongo ni mbaya kuliko mambo yote muliowahi kufanya huko nyumba. Afu kwa bahati mbaya, kwa Sasa kila kitu kiko kwenye mtandao. Ni maadili ya kazi tu ndio yanafanya watu wasilete nyaraka. Ila unaumiza sana...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila ukikutana na mwana Yanga aliyevalia Jezi yao mpya ya Mkuranga na Tandale na kumwambia aonyeshe BARCODE mnagombana?

    Kwani wakisema tu Jezi zao hazina BARCODE kwakuwa Mgombea Ubunge Aliyetoswa kazitengenezea Mkuranga na Tandale watapungukiwa nini?
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  11. E

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za Afya zahanati ya Tandale ni mbovu hasa upande wa bima

    Huduma za Afya katika zahanati ya Tandale ni mbovu hasa kwa upande wa bima
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania KERO Biashara ya lodge Sinza, Manzese na Tandale ni hatari kwa sasa! Wateja na wamiliki wanadhalilishwa na polisi kwa kisingizio Cha madada poa!

    Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine! Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
  13. STEYAN MEJA

    JamiiForums Tanzania Kukosa pesa ni kipimo tosha cha kutokuwa na akili

    Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu 😂😂🙌 ) Sikia rafiki ikiwa unafanya kazi ya ulinzi kama Mimi😂 ya kulipwa 120k per month siyo case...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Dar es Salaam: liko wapi ziwa Mwananyamala, Ziwa Tandale na ziwa Magomeni?

    Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani. Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo mito hiyo inaleta maji ziwani. Tunashangaa...
  16. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

    Wikiendi iliyopita, Jumamosi na Jumapili nilipata wasaa wa kutembea Goba kwa sehemu kubwa kwa sababu nilikua na ndugu yangu ambae katoka huko mkoani anataka kiwanja na kujenga Dar. Ndugu yangu kafika hapa tayari alishachagua eneo analolitaka kua ni Goba, basi tukatafta madalali na kuanza...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kingatiba ya Mabusha na Matende yatolewa Dar, Kata ya Tandale yaongoza kwa maambukizi

    Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni. Kauli hiyo...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua huyo Eruc Oslon? Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ;

    Mwanajamvi . Hivi unamjua huyo Eric Oslon Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ; - four star General, halafu was the tallest in the Navy SEAL (wakati huyo hapo mbele ya hao Russians andunjes anaoneka mufti - Olson anajulikana zaidi...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

    Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

    Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho
Back
Top Bottom