Leo mko wapi? Been missing you all

Leo mko wapi? Been missing you all

10606056_480124138798916_2020630291155624777_n.jpg


Akili kubwa sana hii, chini mahindi yanachomeka juu maakuli mengine yanachemka. Safi sana
 
Ngoja niipige kwa karibu kidogo najua baiki ka hizi sio common ImageUploadedByJamiiForums1409403749.245464.jpg

Natafta abiria wa kiti cha nyuma hapa
 
watu8 heshima yako dakitari
Mzima wewe mkuu
Umepotea sana kama kidonge cha Klorokwini
 
Last edited by a moderator:
Najua ishu ya Betty R.I.P na Stories za wachumba wa JF zimeteka jukwaa lakini pia kuna mtifuano wa Lara moko na yule mwingine nikimkumbuka takwambia

hivi kwani Betty alikuwa anatumia ID ipi humu?
 
Back
Top Bottom