Leo mko wapi? Been missing you all

Leo mko wapi? Been missing you all

Najua ishu ya Betty R.I.P na Stories za wachumba wa JF zimeteka jukwaa lakini pia kuna mtifuano wa Lara moko na yule mwingine nikimkumbuka takwambia

Hahahhaa kumbe na wewe unafatilia eeh. Hali si shwari kabisa humu. Daaah Betty apumzike kwa amani.
 
mshana jr Kiongozi nashukuru sana, kukumbukana ni kitu muhimu sana, tuuendeleze upendo sio baadae ukija kuwa mbunge waziri au raisi tunakimbiana, haipendezi kutupa jongoo na mti wake kwani si jambo la maana, tukiachilia hayo narudia kusema tena asante sana
 
KARIBUNI KWANZA HAPA ,CHA MCHANA HIKI
10606056_480124138798916_2020630291155624777_n.jpg
 
mshana jr Kiongozi nashukuru sana, kukumbukana ni kitu muhimu sana, tuuendeleze upendo sio baadae ukija kuwa mbunge waziri au raisi tunakimbiana, haipendezi kutupa jongoo na mti wake kwani si jambo la maana, tukiachilia hayo narudia kusema tena asante sana

Na mwakani lazima JF itoe mwakilishi/wawakilishi mjengoni na serikalini
 
Back
Top Bottom