Mwandwanga nawe UMP japo ni kweli sijakutaja haimaanishi nimekusahauMshana jr umenisahau mkuu
Enzi zangu hapo utafiti, Tized, kiwatengu, Mndengereko kabanga hawana kauli wakileta za kuleta panga linashuka
View attachment 181464Khantwe miss neddy bysange @View attachment 181465 utafiti HARUFU Excel Asprin kigego wa JF Heaven Sent lin Mr Rocky mwekundu kwa haraka haraka nimewakumbuka nyie ila bado list ni ndefu
Hahahahaa huyo alieshika panga ni wewe? Ulikua na mikwala
Habibty wako anasema ruhsa ya kwenda huko katoa nani? Au miss neddy?
mshana jr pita jf chef uone kitu wine inavyotengenezwa watu wapo uchiii kama wapo beach na miguu ndio blender heeeee usije kutapika tuImekuwaje nimemsahau kabanga kiwatengu Viol MUSSOLIN ladyfurahia farkhina Jerrymsigwa ....nitaendelea kukumbuka Wengine kadiri burudani wine itakavyonituma