TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,122
- 30,375
Halooooo habibty au habiby?
khabibi
Halooooo habibty au habiby?
Hahaha wanajuana sana, miss neddy njoo pande hizi kidogo
![]()
Akili kubwa sana hii, chini mahindi yanachomeka juu maakuli mengine yanachemka. Safi sana
Ulikua unatafutwa na farkhina
haha nimeona eti anahofu utachepuka lol
Hahaha asante kwa kumtoa hofu mkwe wangu
na xxxxxxxxxx lol
Jamani kwa hiyo mie haujanimiss si ndio eeeeh???
Ngoja niipige kwa karibu kidogo najua baiki ka hizi sio common View attachment 181512
Natafta abiria wa kiti cha nyuma hapa