Trust me
Red Scorpion Wewe nimekuweka kwa picha kuuuubwa
Kaka Mshana nilikua bize na maswala ya msiba wa mama yangu mkubwa so kwakweli sikupata muda wa kuingia mtandaoni kabisa, asante kwa kunikumbuka, na nina i reserve zawadi ya picha kwaajili ya avatar hapo baadae!