Lengo kuu la kuishi/Uhai ni ku enjoy hisia zetu na kuzi balance, kifo ni matokeo ya ku over/under feelings

Je ni uhalisia tunaishi kwa kutegemea hisia

  • Appreciate

    Votes: 0 0.0%
  • Liked

    Votes: 0 0.0%
  • True

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,758
8,700
Habari wakuu hope mpo njema sana na sawia,

kabla sijaingia katika maada kwanza tupeane pole kwa mtikisiko wa sasa unao ikumba hii Dunia yetu, hatuna Dunia ingine ya kuhamia kwa uharaka,
Hata kama ingekuwapo basi tungehamia lakini tungehamia na magonjwa yetu,dhiki zetu,njaa, chuki,raha n.k .
Pia tungekutana huko na mvua ,jua,usiku na mchana, ....

Ch muhimu ni kuchukua tahadhari kadri uwezavyo kujipambania wewe na wenzako kama utaweza,ikishindikana basi kifo ndo hatma ya kila kiumbe.

Nianze na maada yangu:,
Nilivyotangulia kusema lengo la maisha yetu hapa duniani ni nini??, pengine kila mtu anamuono wake kulingana na anavyoona.

Lakini lengo kuu ni ni kuenjoy hisia zetu, Uhai ni hisia, Pumzi tunayovuta ni hisia na kila tunachokifanya kinagusa Hisia zetu(No one to argue with this
)

Ukishindwa kutimizia hisia zako adhabu yake ni kifo.na kifo maana yake mwili hautakua tena na hisia either is someone cutoff your feellings or wewe binafsi umeshindwa kupambania hisia zako au zimezidi sana ukashindwa kuzibalance.

Aliegundua pesa aliwaza jambo dogo tu ila nafikiri alitumia muda mwingi mpaka akaja kung'amua., Na hii hututokea hata sisi unaweza waza jambo kwa muda ila jibu lake ukaja lipata kizembe mno.

Aliwaza ni kitu gani kinaweza kubalance hisia zetu kwa sababu aliona , kama kisingekuwapo basi watu wangeweza pata chochote wakitakacho kwa kiasi chochote, kila mtu angepambania maisha yake kwa style yake.

Hapo naingizia maada ingine ya LENGO LA PESA KATIKA MAISHA.

pesa imekuja ili kubalance hisia zetu tusizitimizie zaidi wala tusizikose sana maana tutakufa.
kwahiyo ukitafuta pesa ndio umepata ingredient ya kutimizia hisia zako.

Pesa hazitoshi:, either zimelimitiwa mahala, ivi ikitakiwa pesa zote zigawanywe kwa kila mtu duniani je zingetosha?, na kama zingetosha it means kila mtu angekuwa na pesa si ndio?
Nini maana yake ? kila mtu angepata anachokihitaji kwa kiasi chochote, kwa maana hiyo tutashindwa kubalance hisia zetu .na pia itakua ni sawa na maisha kabla ya pesa.

Why CRYPTOCURRENCY
Kwanini kuna limited number ya BITCOIN ambayo ni 21million Bitcoin? Je ni mbinu ingine ya kuzibalnce hisia zetu? Je
Je ni wazo la wao kumanaje hisia zetu na kuziamrisha yani kwa kutimiza masharti yao ndio tutaweza pata access ya kutimizia hisia zetu? Je ni lengo la kila mmoja kufanya analoweza bila kuwa limited na serikali?

Turudi katika maada kuu:
UGONJWA ni hisia usipopambania kubalance ukapona basi kifo kinakuhusu

Njaa,kiu, pia ni hisia ukishindwa kuvipambania utakufa na pia ukishindwa kubalnce utakufa pia kushiba sana/overweight kula ovyo kunasababisha magonjwa na hatimae kifo.

Mapenzi ni hisia pia yakikuchanganya lazima ufe,so kila kitu ni kubalance.
nashindwa kutaja vyote ila nisaidie kuorodhesha katika Comment.

Furaha ni hisia ukiikosa utadhoofika ikizidi sana utachanganyikiwa na siku ukiikosa utakufa.

Tunatafuta pesa kwa sababu pesa imegenerelize ivyo vitu unaweza kuvipata kwa kutumia pesa, but jitahidi sana usaidie watu maana ukijilimbikizia pesa ni hatari utakufa pia maana watu watakuwinda,

Find your feeling and balance it.
KUMUOMBA MUNGU:
KUSALI/KUSWALI ni Hisia ukiacha kusali pia utakufa.Ndio utakufa. Ila ukisali hata kama upo katika umahututi near death line usiache kumuomba MUNGU. kama huu mstari katika biblia

2WAFALME 20:1-6

https://www.bible.com/
https://www.bible.com/sw/bible/74/2KI.20.BHN
https://www.bible.com/reading-plans
https://www.bible.com/sw/videos

2 Wafalme 20:1-6​

2 Wafalme 20:1-6 BHN​

Wakati huo Hezekia aliugua sana karibu na kufa. Ndipo nabii Isaya, mwana wa Amozi alipomwendea na kumwambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu; ‘Panga mambo yako sawasawa katika nyumba yako kwa kuwa utakufa, hutapona.’” Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi ukumbuke jinsi nilivyokutumikia kwa uaminifu na kwa moyo wangu wote na kutenda yaliyo sawa mbele yako.” Hezekia akalia kwa uchungu sana. Lakini kabla Isaya hajapita ua wa katikati, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia, kusema, “Rudi ukamwambie Hezekia, mkuu wa watu wa Mwenyezi-Mungu: Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu yako Daudi, nimesikia ombi lako na nimeona machozi yako. Nitakuponya na baada ya siku tatu utakwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Nitakuongezea miaka kumi na mitano ya kuishi. Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu kwa ajili ya heshima yangu mimi na kwa ajili ya mtumishi wangu Daudi.”

TUSIWE BIZE KUTIMIZA HISIA NYINGINE TUKAMSAHAU MUNGU.

Tupambanie hisia zetu bila kuharibu hisia za wengine kwa maana hisia ni uhai.
pia tufanye kila kitu kwa kiasi
soma WARUMI 12-16 angalau utapata namna ya kuishi katika hii dunia.

Usiche kucomment,kulike pia usiSahau ku VOTE.

THANK YOU ALL FOR READING THIS, MAY ALMIGHTY GOD BLESS US
 
aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom